Unalowaza mzee mda alishatoka kitambo ww waza kumuua wakati apo ulipo tayar alishakumaliza wala hateteleki anacheza na akili hachez na mwili hata kidgo
Sisi wabongo mbona ni wepesi sana kukubali kila jambo mbogo kwa Experiments daaah shida sana. Wao kama wao NASA wanaogopa kwenda kuishi huko sayari ya Mars si waende wao akaaah mpishi wa chakula ni mwingine na anayeonja chumvi tena ni mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.