Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
Kitabu hichi kinalenga mjasiriamali wa kitanzania kinaelezea namna ya kutengeza bidhaa ishirini ukiwa nyumbani mpaka kiwango cha kupeleka sokoni na pia ufugaji wa kuku wa mayai pamoja na kuku wa nyama kwa njia ya kisasa.
kitabu kinauza kwa tsh 4000 ambapo utatumiwa kwa whatsup au Email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.