Tengeneza bidhaa 20 ukiwa nyumbani

Mosse Anney

Member
Feb 6, 2019
11
45
Kitabu hichi kinalenga mjasiriamali wa kitanzania kinaelezea namna ya kutengeza bidhaa ishirini ukiwa nyumbani mpaka kiwango cha kupeleka sokoni na pia ufugaji wa kuku wa mayai pamoja na kuku wa nyama kwa njia ya kisasa.

kitabu kinauza kwa tsh 4000 ambapo utatumiwa kwa whatsup au Email.

Phone: +255752972727
Email: mosesanney@gmail.com


newdesign_1_original.jpg


YALIYOMO
 • Utangulizi
 • JINSI YA KUTENGEZA MANGO PIKO
 • JINSI YA KUTENGENEZA KEKI
 • JINSI YA KUTENGEZA KARANGA ZA MAYAI
 • JINSI YA KUTENGEZA ICE CREAM
 • JINSI YA KUPIKA CRIPSI
 • UTENGENEZAJI WA UNGA LISHE
 • JINSI YA KUTENGEZA CHILI SOUCE
 • JINSI YA KUTENGEZA JUICE YA TENDE
 • UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA NAZI
 • JINSI YA KUTENGENEZA JAM YA MATUNDA
 • JINSI YA KUTENGEZA KASHATA
 • JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA ZANZIBAR
 • JINSI YA KUTENGEZA BARAFU YA UBUYU
 • JINSI YA KUTENGEZA MISHUMAA
 • JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI
 • KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI YA KUNAWIA MIKONO
 • JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA
 • JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI
 • UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA
 • ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI (LAYERS)
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,612
2,000
tatizo we are just binded yaani ni sabuni na batik,keki na kufuga kuku, kwa nini isiwe kufuma carpet kutengeneza sukari na ku brew a beer at home
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom