Recent content by moshingi

  1. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Zuio la Mahakama likisomwa Bungeni leo jioni itakuwaje

    Chenga ya mwili ilipigwa siku ambayo Naibu Spika alimwuliza Zitto kuhusu maendeleo ya kazi yao akasema anasubiri apangiwe siku yeyote kuwasilisha ripoti... kisha jana Spika akasema anasubiri akina Zitto wajulishe kwa maandishi kuwa wapo tayari. Danadana hiyo ilikuwa kuvuta muda watu waandae...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cabin Crew wa Japan: Huvutia Wateja?, Jee Tuwavishe Hivi Wa Kwetu?.

    Wa aina hiyo hawezi kuwa mke wangu, mke anatakiwa akupe amani ya akili na moyo kamwe sio jakamoyo, anatakiwa akufunulie wewe peke yako sio wengine, atanitia majaribuni akiwa hivyo maana hiyo ni sawa na invitation to tender...watu wata-bid ati...oooohoooo!! chezea wanaume wewe wengine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Cabin Crew wa Japan: Huvutia Wateja?, Jee Tuwavishe Hivi Wa Kwetu?.

    Dada au mama sawa, kamwe sio mke chezea vingine bhana mke wangu niachie ooohooo!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Umenena mkuu, pamoja na kwamba aliyoyasema yana kila dalili kutokea ila mzee huyu amekuwa akitumia dini kwa amanufaa binafsi na kuifurahisha nafsi yake, Yesu alisema kuwa ufalme wake si wa dunia hii mbona yeye anang'ang'ania ya dunia??
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio mchongo mzima wa makipa wa Yanga walivyotaka kuiuza Yanga misri leo jnia

    huyo ndiyo zake...simba walimshitukia wakamwacha na yanga hawakumkimbilia upesi cjui nn kiliwakuta yanga wakamchukua anauza magoli kama maandazi.... hiyo ni fitina ya waarabu, kaseja keshawauza wenzake kwa vijisenti, ndiyo maana ataishia soka la bongo tuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kisiwa cha Pemba jamani

    Kwa mtindo huu watachelewa sana kiuchumi, haiwezekani uwalazimishe wateja kutembea na vyeti vya ndoa, labda kwenye enzi za ukomunist
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwenda shule nako kunasaidia sana

    Akubali matokeo, kila zama na kitabu chake, zama zake zilikwisha avumilie
  8. M

    JamiiForums Tanzania Daladala laivu

    Uswahilini kuna vitukooooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania 1 person die and million cry 1 million die and no one cry

    The world had never been fair
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

    Ili serikali isiwe kigeugeu, kwa kuifungia ile nyimbo ya wale waliokuwa wakijiita Ngoni Tribe, ya "Wanawake wazuri wameolewa wamebaki MANUNGAYEMBE wanahangaika" basi waifungie na hii, kwani angalau ile ilikuwa ikiwakataza wanawake kuwa wahuni. Pia ile nyimbo ya "MAMBO KWA SOKSI" ya hayati DR...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilielalanae Jana, leo kanijia na mumewe na mapanga mkononi

    huyo mwanamke na hao njemba ni weeeziiiiiii siku ya siku waambie mkalipane polisi
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex According to Your Astrology Sign

    Mie kwangu hamna ukweli hata kidogo, huu ni ushirikina ukijaribu kufuatilia umetekwa na kumsahau MUUMBA WAKO...hawakawii kukwambia oohh nyota yako imechafuka inahitaji kusafishwa, mara ooohh vaa pete ya jiwe fulani, mara oohh ongeza mvuto wa biashara vaa mnyororo shingoni(mkufu??), mara njoo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    consult dictionary
  14. M

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Hood Morogoro Hovyo

    Hawa watu ni wachafu sana, nashukuru mleta uzi umenikumbusha. Wananikera jinsi wanavyojali fedha bila afya za wateja wao, ni kweli hawana mpinzani katika njia ya Mbeya - Arusha lakini angalia hoteli wanazosimamisha mabasi yao kwa ajili ya chakula kwa abiria ni zile chafu sana za Waarabu mfano...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

    Nimefuatilia, ni kweli kwamba huyu mtu amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kupigwa risasi na Polisi. Alipigwa risasi eneo la Karangai wakati walipokuwa wamebeba mkaa wa magendo katika lori ambalo liliposimamishwa na polisi halikusimama, polisi walilifuatilia wakalipiga risasi matairi...
Back
Top Bottom