jamani , Mdogo wangu aiomna kazi ya Assistant marshallean mwezi uliopita, sasa kwenye vigezo pale waikuwa wanahitaji muombaji awe na any principle passes(advanced certificate) in Mathematics,geography,physics or English na awe Computer literate.Tatizo linakuja hapa,Mdogo wangu yeye alisoma HGE...