Msaada wenu unahitajika kwa haraka

Moshie

Member
Oct 4, 2015
33
19
jamani , Mdogo wangu aiomna kazi ya Assistant marshallean mwezi uliopita, sasa kwenye vigezo pale waikuwa wanahitaji muombaji awe na any principle passes(advanced certificate) in Mathematics,geography,physics or English na awe Computer literate.Tatizo linakuja hapa,Mdogo wangu yeye alisoma HGE na alipata division 1 ila O level alifauli vizur tu English na physucs. Vipi anaweza kupata nafasi ? sababu nikiangalia Halo yeye Ana principle pass moja tu .
Maoni yenu wadau yanahitajika
 
Back
Top Bottom