Mwalimu wa kujitolea amepatikana

[QUOTE="MBIIRWA, Tunajitolea tu kuwasaidia wadogo zetu na ndugu zetu na sio tu shuleni hata kama kuna kijiwe kipo naweza kuja kufundisha
 
Mkuu wewe ni Mwalimu kweli au Mwanafunzi maana huwezi kuandika.

Mimi ni Mwalimu lakini sijawahi kuona maandishi kama yako kwenye ofisi yetu ya Walimu 30.
 
Chuo gani umepata hio degree,mimi najua ni masomo mawili au moja kulingana na programme.
BAEd/BED
 
Mkuu wewe ni Mwalimu kweli au Mwanafunzi maana huwezi kuandika.

Mimi ni Mwalimu lakini sijawahi kuona maandishi kama yako kwenye ofisi yetu ya Walimu 30.
Acha kuongea uongo, tafuta posts za Deo Kisandu.
 
Kwanza siongei bali nimeandika.
Mimi ni Mwalimu hapa Dar huyo Deo ni nani?
Narudia ofisi yetu ina Walimu 30.
Hayo ya Deo wako siyajui.
Acha kuongea uongo, tafuta posts za Deo Kisandu.
 
Kwanza siongei bali nimeandika.
Mimi ni Mwalimu hapa Dar huyo Deo ni nani?
Narudia ofisi yetu ina Walimu 30.
Hayo ya Deo wako siyajui.
Kuna njia mbili za kujibu, kulingana na swali au kulizunguka swali. Umeamua kulizunguka swali.
 
Soma vizuri nilichoandika au ulichoquote,mimi nimeandika kwenye ofisi yetu yenye watumishi 30 hakuna anae andika kama huyo anae omba kujitolea.

Wewe umeleta habari za Deo Kisandu wakati simfahamu,pia mimi nipo Dar,huyo Deo yuko wapi.

Usiponielewa basi.......
Kuna njia mbili za kujibu, kulingana na swali au kulizunguka swali. Umeamua kulizunguka swali.
 
Ila hali ni ngumu sana wandugu hasa suala la mitaji japo biashara zipo nyingi. Kama ualimu imetoka kwenye kupangiwa vituo adi kuomba kazi kama sekta nyingine!

Nawaombea sana kwa Mungu walimu wangu...serikali haiwatendei watoto wetu haki
 
Soma vizuri nilichoandika au ulichoquote,mimi nimeandika kwenye ofisi yetu yenye watumishi 30 hakuna anae andika kama huyo anae omba kujitolea.

Wewe umeleta habari za Deo Kisandu wakati simfahamu,pia mimi nipo Dar,huyo Deo yuko wapi.

Usiponielewa basi.......
Mkuu, na wewe unajua kuandika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom