Recent content by moshi norbert

  1. moshi norbert

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Habari wa ndugu kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama nafahamu katika kuandaa banda la kuku kwa ajiri ya kuingiza vifaranga n lazima pawepo na malanda na malanda mazuri hasa ambayo hayana mazala kwa kuku wako n malanda ya mpunga japo kwa hapa Dar n garama kidogo kwa roba moja ni 7000 ad 8000 mimi...
  2. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    but ata watalii pia hua wanapenda kupata vyakula vyetu je siwezi pata nafasi huko ndugu
  3. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    unajua katika maisha kabla ujafanya jambo lazima utazame kua jamii inaitaji nn sasa katika mihangaiko yote anayofanya binadam katika maisha yake cha kwanza anahangaikia kula then mambo mengine yanafwata
  4. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    kama ulivyosema kila kitu na passion kama jambo haulipendi basi ata kulijua si rahisi
  5. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    burger piza best chips smart cake mtori macharari supu ya mbogamboga supu ya cabich wali wa mayai supu ya pweza na rost yake
  6. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    burger piza best chips smart cake mtori macharari supu ya mbogamboga supu ya cabich wali wa mayai supu ya pweza na rost yake
  7. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    nipo dar es salam Bunju
  8. moshi norbert

    Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Nipo bunju na uzoefu ninao nilishawai kufanya kwa mudah wa mwaka mzima
  9. moshi norbert

    Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Kule unaweza ukawa unafanya nao kazi kwa bili
  10. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
  11. moshi norbert

    Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia
  12. moshi norbert

    Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
Back
Top Bottom