Recent content by Moses Mwangwa

  1. Moses Mwangwa

    Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

    Mdudu huyo yupo,msibishe,na anamadhara makubwa. Mdudu mwenyewe huyu: Waliodhurika kwa mdudu huyo no hawa:
  2. Moses Mwangwa

    Utafiti..Kama umezaa ukiwa na Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 jua umezaa Mtoto asiye Mwerevu

    Someni Torati 4:6,,msidanganywe,kuwa na akili haiusiani na umri wa wazazi wako,watafiti hao ni wanabailojia,au?,maana Kama ni ndio,how do they think about menstruation period?huyo mwanamke atazaaje bila hedhi?Au ndo uwezo wa ROHO mtakatifu?Kama wako kiroho zaidi sawa,maana hao uwa ni Godgives.
  3. Moses Mwangwa

    Tamko la Rais Magufuli juu ya mimba za wanafunzi linapingana na sheria zilizopo

    Tufanyeje Sasa?Mmempa mamlaka ya kuongea,na atasema mengi,na lazima yatekelezwe,chunguzeni katiba yenu Kwanza,,no right to say,no say
  4. Moses Mwangwa

    Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

    Huu ni ukweli mtupu,umenifumbua akili,I was in sleep,yote hayo yananikuta mie,kwahili ntaanza na namba moja, God help me for that.
  5. Moses Mwangwa

    Silambi tena

    Do!!!
  6. Moses Mwangwa

    Mchanga wa madini kuchelewesha ajira mpya, kupanda madaraja nyongeza mishahara

    Kama ndo hivi tu,twafa,,,suala lenyewewe utatuzi wake siyo Leo Wala Kesho,tusubirie badget za miaka ya uchaguzi.
  7. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Nipe matokeo,ilikuwaje?niko kijijini sana.
  8. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Matokeo yalikuwaje?kati ya GSW VS CVS
  9. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Matokeo ya Gsw vs Ccvs yamekaaje?
  10. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Balaa sasa
  11. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Curry kashatangaza hatokubali kupoteza game,ngoja tusubir matokeo
  12. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    We,ngoja niamke,matokeo kwa sasa
  13. Moses Mwangwa

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Do!!ok!
Back
Top Bottom