Jamani mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, nmekutana na mama mmoja nikaanza kumchimba nipate elimu, yeye kasema mzunguko wake ni 28 na akiwa anaingia period siku ya kwanza akikutana me, anaweza daka mimba, na siku ya tatu ambayo ni yameisho. Je, ni ya kweli hayo wajuuzi na wabobezi?
Unaweza lia mazee,2008,nilukua,Zambia, ndugu YANGU,alipenda sana kuja bathroom nikioga kuangalia machine yangu sikujua kwann ,siku ya kuona mashine yake ,nikakumbuka,anavyotoswa,nikajua hapa sababu ndyo hyo hata kakisimama hakaeleweki,huruma
Inaonekana ukatotoka umekujaa,Israel ni sura ya Mungu,Trump yupo kutimiza unabii ,usipookoka,kuzimu ni kwenu,baba mtakatifu,pole maandiko,yana sema usimwite MTU baba duniani ,baba yenu ni mmoja kazaneni kupiga vita na Yesu mtaiona hasira yake
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.
Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.