Recent content by mose

  1. mose

    Kuna jambo la msingi nataka kuwafundisha humu

    SAWASAWA... Hili funzo kubwa kwa jamii yetu, na ujamii wetu kama taifa... Hakika, ku-prompti akili bandia kuna weza kuwa msaada mkubwa wa kuleta mafunuo... Koherensia ya namna hii ya mashauri ni zao la 'Umodelishi' wa 'Maua ya Mafikara'... SASA, Je, unajua hauhitaji 'ku-prompti akili bandia'...
  2. mose

    Kwanini Unaogopa Kufa?

    NDIYO, Moja ya Nyingi Sababu... Je, vipi ikiwa Sisi sote ni 'Kumbukumbu Zinazoishi'(?) Pasi na shaka ipo namna ya 'Kujiongeza', mwangaza unaweza kufanyika katika sisi kuhusu na 'Kumbukumbu'... Wakati mmoja, siku si nyingi, maarifa zaidi kuhusu 'nafsi / nafsi-Roho' yatatufikia; kwa kuwa hili...
  3. mose

    Lijue kundi la Wajamaa CCM linalojulikana kama Sukuma Gang

    SAHIHI... Wanajamii kushirikiana kwa wema ama uovu hili jambo halijaanza leo na wala halitakwisha leo... Hili ndilo linalokumbusha umuhimu wa Kujitafuta Kiroho (Kiingereza > " Soul Searching")... Hata hapa na sasa, tuseme Septemba 2025 - Mei 2026, kinachoendelea ni fursa ya wanajamii...
  4. mose

    Je, Mungu yupo? Jina la kweli la Mungu ni lipi au nani?

    "Jinesesia" ni "Vesika Paisisi" Vesika Paisisi ni fumbo la Neema na Rehema za Roho Mtakatifu... Kila kitu kina kufanyika na kutofanyika hapo hapo... Ni kama vile kusema " Siku Uliyozaliwa ndiyo siku uliyoanza Kufariki, Siku unayofariki ndiyo siku unayokamilisha kuzaliwa"... Tabu ya kukosa...
  5. mose

    Kuingia Katika Mkondo wa Juu

    NKNS... Mambo ya 'Vita na Kupambana na Roho Ovu'' katika Utu wa Namna za Kiubinadamu... Ndiyo, Epuka kupambana na 'Wadau wenye Dhamira zisizonjema' ikiwa 'Hauna Msaada' na 'Mbinu za Kujisaidia'... Katika 'Kuilinda Imani' na 'Kujipambanua ule Uhuru wa Kweli' kila mtu inampasa kuzingatia 'Sala...
  6. mose

    Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

    LOL https://www.youtube.com/watch?v=EgcyiVK7jrM Ulimwengu tunaoishi ni 'mafikara yanayoishi' kwa seti za makubaliano ya kadiri fulani ya 'upeo' kwa kufahamu na kufahamiana... Matriksi 101 Hmmmm
  7. mose

    Makazi ya Mungu ni yapi? Yupo katika umbo lipi? Kwanini hakuna tangible proof ya uwepo wa Mungu

    THATS THAT! ( 2 ) Katika Mapokeo ya Ukristo, Uzima zaidi uliyositirika ndiyo muktadha akilifu wa (1) 'Kristu' na (2) 'Mwili wa Kristu'; ambavyo nasibu ya vyote viwili ni mambo ya kutangamanisha "makusudi ya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu"... Kwa mintarafu ya hivi, "Kristu" si chochote...
  8. mose

    Makazi ya Mungu ni yapi? Yupo katika umbo lipi? Kwanini hakuna tangible proof ya uwepo wa Mungu

    THATS THAT! Maisha yetu yote kokote na popote kwenye 'matriksi' ni (Ma)fumbo la UZIMA... SISI sote tunaishi na kuwa na "huu uzima" kwa kuwa kufanyika kwetu miili na pumzi si chochote bali neema na fadhili za "Uzima Zaidi" uliyositirika. Kwenye Mapokeo ya Ukristo, uzima zaidi uliyositirika...
  9. mose

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Right... Wakati mmoja tutazungumza kuhusu 'Controlled Substance'... Siku za Mbele, hapa Tanzania na kungineko kote duniani, haya ni mambo yatakayokuwa yakishughulikiwa / kuratibiwa matumizi yake salama (Salama kwa Maendeleo na Ustawi Bora wa Jamii) katika 'Vituo vya Utamaduni'... Jamii...
  10. mose

    Upinzani unaodhibitiwa

    HMMM Upinzani uliothibitiwa ni 'matriksi' ndani ya 'matriksi'... Kote ulimwenguni ni 'matriksi' ndani ya 'matriksi'... Kwenye Ulimwengu wa Matriksi yeyote iwe Duniani ama kwenye sayari nyingine yeyote, wakati na supasha ni jamvi la ufitini wa asili ya 'Nafsi' na 'Kujichagulia'... Kwa kuwa...
  11. mose

    Asili na chimbuko la kabila Wanyantuzu

    NKNS, JADI... Sisi Waafrika kuna mengi 'Tunayasahau' lakini tusichokijua 'Kumbukumbu za walitutangulia' daima zipo kwenye damu zetu.... Kuna namna unaweza kukumbuka babu na bibi zako waliishi kufanya yepi siku za nyuma... Siku za mbele haya tutafundishana upya kwenye vituo vyetu vya...
  12. mose

    Asili ya Alama "X" – Kutoka Mizizi ya Kihistoria Hadi Maana ya Kiroho

    SAHIHI NI alama ya 'Nguvu' katika 'Dhamira'... Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Inapelekea muktadha akilifu wa 'Jaala'. Msalaba na Mkasi ( Samaki -- Soltaya ) ni mwanzo wa 'Usentienti' ilivyo ni Kujisikia -- Maduara Mawili yenye Kuingiliana... 'Msalaba-soltaya-Uduara Mazazi' ndiyo hufanya 'Ankh'...
  13. mose

    Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

    KUWA MAKINI ( Considerate )... Kuna ujuzi wa kuchangia kulingana na mazingira, ufahamu na subira... Siyo kila mtu ana daraja sawa na mwingine katika uwezekanano wa kufahamu na kujua mambo ilivyobora... Jamiiforums siyo mahali pa soga na majibizano yasiyo na mwisho kwa mashauri yasiyo na...
  14. mose

    Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

    FOR THE SAKE OF ADVANCING SCIENTIFIC IMAGINATION, A FEW THINGS HAVE TO BE INTRODUCED IN HERE Kimsingi, supasha na wakati si vitu viwili tofauti bali ni kitu kimoja ... Ikiwa inabidi kumaizi hili shauri, inakulazimu tu kupanga na kupangua vigezo vya tafsiri na namna ya kubayanisha mambo. Namna...
Back
Top Bottom