Recent content by mosara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

    OCD wa kituo cha Polisi Kondoa Mjini, hivi majuzi alimchakaza makonde Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Kikore. Tukio hilo lilijiri pale baada ya Big wa polisi huyo alipoona amri aliyezoea kuituoa kwa maskari wake kutokutekelezwa. Big wa polisi almpa amri Big Teacher wa sekondari atoe vitabu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo agundua UNYAYO wa mtu wa 182 tangu kuumbwa kwa Adamu...

    Huyo Babu ni deal, kwanza yupo? Embe ajitokeze kuna watu nimesikia tetesi wanamsaka kwa udi na uvumba wake!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    Warangi hawafai. Wao kwa wao sawa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa nifanyaje?

    Acha hizo. Zina ni noma athabu duniani na ukesho pia. Fanya mipango ya ndoa dogo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa ma it.

    kweli wale wote ambao ni ma-it pongezi kwenu, your job is great!!! Nashukuru sana sana, japo sija unlock my phone, ila natanguliza shukurani za ukweli, from my heart. i am going to unlock it through the it advices. Pia nimepewa very good and technical reply with samsung tab, how my contact...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

    Nashukuru, ila mm sielewi chochote, ila ninazo cd mbili original za hi phone. Kama kuna mtu aliye na ujuzi please, amitumie namba zake humu nitam call, or tutaongea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inanichangaya. Samsung tab!!?

    Kwa yeyeto anaefahamu, Sim card ina contacts zangu kibao, ila naiweka kwenye hiyo Samsung Tab majina hayaonekani, wana JF msaada juu ya hilo tatizo, au ndio hawezekani?? Contacts mpya zina display kwenye screen kama kawaida.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

    Ahsnte for a very good question. Nilikuwa natumia TO DRAW PATTERN na mpaka sasa nakumbuka how to unlock it by pattern unlock, isipokuwa jamaa yangu alijaribu mara zaidi ya tatu ku unlock by pattern keys, ndipo ilipoleta TOO MANY PATTERN ATTEMPTS!!Sasa indai TO UNLOCK, SIGN IN WITH YOUR GOOGLE...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

    SOMA HAPO CHINI. Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini. Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.

    mkuu kama ni gmail hiyo ni ile ile email yako unayoweza kuiacses kwa computer au kifaa chengine so fanya hivi. Ingia gmail.com then nenda sehemu iliyoandikwa acount recovery au forget password. Watakwambia ueke email adress yako mfano mosara@gmail.com then itafuata step ya kurecover password...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.

    Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke. Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matapeli mtandaoni! Soma hapa na ww usije ukaingia mkenge...

    Hoa ni noma. Stay away from them. The beuatiful one has not yet birth. Mm pia wamenitokea sana na vipicha vyao wakiuonyesha wao ni wazuri mimi nawaona wao ni more beuatifools.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msada wa to kwa wana jf

    Ukweli nimekwama pale ninapo sign in katika email account yangu. Id yangu hakika ni sawa. Password pia ni sawa. Baada ya kujaza na kusaign in kinakuja kile kibox cha draw image nikisha do hivyo; Naletewa swali sasa hapo ndio nachanganyikiwa, swali linakuja toufauti na maswali niliyoyachagu ambae...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar latoa 'picha' ya aliyemuua padre Mushi

    Uhakika ni upi, wauaji walikamatwa ndani ya bahari wakiwa wanaexcape, leo wamechora katuni, nini Fbi, ata Masoud K anaweza. Ila kwa sababu padri inasadikiwa issue yake ni unga basi wauaji ni mafia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uamsho wachomoka

    Mwendesha mashitaka wa ..........nae itafika siku yake atakutana na mwendesha mashitaka wa mwenyezi Mungu. Maisha ya dunia ni mafupi sana.
Back
Top Bottom