Recent content by mosagane

  1. M

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Jamani watanzania tuacheni umbulula, hivi kati ya sheni na jk nani anayetakiwa kumsemea mwingine?
  2. M

    Matokeo halisi uchaguzi mdogo kyela, Huyo Mtoa mada Hiyo Nyingine Kadanganya

    habari ndio hiyo,cdm kanyaga twende
  3. M

    BAVICHA hakukaliki! Viongozi wa juu waandaliwa maandamano nchi nzima...

    huyu kisandu nailimfaham tangu enzi za uundwaji wa umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu(CHASO),huyu jamaa anapenda madaraka kuliko hata hata nafsi yake.Kwa wale waliobahatika kusoma kitabu cha fasihi kidato cha nne kijulikancho kwa jina la MFALME JUHA,huyu jamaa ana sifa zote za mfalme JUHA ambaye...
  4. M

    John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

    kiukweli JJ Mnyika ni role model wangu,namkubali sana,bila kumsahau Tundu Lisu hawa ni moto wa kuotea mbali
  5. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Hata mimi leo hawa jamaa wamenikera kuliko siku nyingine yoyote.
  6. M

    Ukimya wa 'media za CCM' kuhusu mnyukano ndani ya BAVICHA

    aibu yao ni kwamba hili suala limejulikana mapema,walitaka lije 2014/2015 lakini Mungu amewaumbua mapema
  7. M

    Mwigilu Nchemba amlipia Dr. Slaa ada ya uanachama Mwanza, Huku Matata akisema yeye ni Meya wa CCM

    kila unaweza kufikiri kuwa ndani ya ccm akili zake hazijabunguliwa,jaribu kjumpa nafasi ya kuongea uone...!!!wote akili zilishaoza
  8. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    alfu hawa watangazaji wa coudz wengi wao kama vile wanacamerooniwa(refer: nchi zlipewa masharti gani ili kupewa misaada)
  9. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Kiukeweli mimi niliwasikiliza hawaq jamaa yaani wameniboa sana, tatizo la Clouds wanapenda kualikua kuwa MC kwenye birthday ya JK na hivyo wanaona kuwa wakiibeba CCM ndo wanajihakikishia ulaji. Ajenda yao ilikuwa kuipinga habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima kuwa hukumu ya kesi ya...
  10. M

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    duuu!!!kweli hapa patamu,mbona juliana amejikita sana kwa Dr.Slaa bila kujibu hoja.Anyway hii kambi ya zito ngoja iteme nyongo zake hapa ili baada ya hapo tujue ni uamuzi gani wa kuchukua!!
  11. M

  12. M

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    jamani juliana jitokeze au kama alishajitokeza naomba anayeweza kunielekeza link ya kupata uzi wake
  13. M

    Huyu ndio Habib Mchange

    hii thread imeamsha hisia zangu kali sana kwa kulikosa gazeti la mwanahalisi,kwa kweli walaniwe wote waliolifanyia hila chafu. huo ndo ukweli uliojiri ktk mchakato ule na uhuni wote huo ulikuwa ukifadhiliwa na zito.mimi nina ushahidi wa jinsi zito alivyomfadhili juliana shonza,na mgogoro ulianza...
  14. M

Back
Top Bottom