John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

Huu ni upuuzi mtupu hatuwezi kupoteza muda kuwapigia kura watu kama shonza ambaye jina lake ndio nimelifahamu juzi kwenye hii skendo ya ben saanane. Vile vile ni kwa kigezo gani umemweka Kikwete kwenye kiongozi bora? Na huyu Mh. Ahmed ndio nani? Sijapata kumsikia kamwe au ni mumeo? Mwigulu mchemba na Filikunjombe mavuvuzela ya magamba for what? Be serious or else you must be joking. Kwenye mawaziri bora umejitahidi japo nina wasiwasi endapo kagasheki anastahili kuwepo hapo. Mwanasiasa bora kijana hapa tanzania ni kamanda wa m4c Godbless Lema kwa mtazamo wangu lakini naona kwenye list hujamweka.

Godbless Lema yupo JF? Na je anatumia jina gani maana kigezo cha pale ni kuwa JF
 
Ni hatari kumaliza mwaka na mibangi. Yaani na Kikwete ni kati ya viongozi bora? Hivi wewe unajua maana ya neno ubora au unaongelea uboronga? Nilipoona majina ya Kikwete na Kinana nilitaka kutapika ila nilijizuia. Hivi unaishi nchi gani? Je unafikiri kwa massaburi au mavii? Hivi hujui kuwa Kikwete ana tuhuma za ujambazi wa EPA wakati Kinana ana za kutorosha nyara? Je umetumwa au unajipendekeza ili wakujaze mabaki ya ufisadi? Je unaamini katika kile ulichoandika? Kwanini unapenda kutapisha watu? Umetumia mizania na mantiki gani kumweka hata nepi Nape Mapepe mropokaji? Ona unavyoboa unamweka hata zinzii Mwigulu Machemba! Hivi kweli wewe ni mzima au unatania? Shame on you!

Wewe ni father of all ama ni mother of all?kama sio hivo ni father of fool.huelewi kwamba watu wote sio sawa.utofauti wa mawazo na fikra ndo inapelekea mabadiliko ya dunia.mfano wanajf wote wangalikua na akili kama ya kwakwo wote tungalimshambulia aliyeandika thread hii.lakini wanajf hawapo kama wewe numb ama hollow head.mwandishi hakusema lazima umchague fulani bali ameweka propozo.kitu cha muhmu kwakwo ulikua usajest yupi kiongoz bora kwa mtazamo wako na unatoa ubora huo.but wewe hukuenda samba na thread juu ya kuchagua kiongozi bora umempaka mueka thread bila ya kuonesha msimamo wako.wewe inaonesha unaakili za samaki.shame on you too pal
 
If I am father of fool my only son as you put is you. I am father of all actually. Again kids like you are the ones my wives conceived out of marriage. Naona unajitahidi kunishawishi nikubali ujinga wenu. Wazo langu bado liko pale pale. Unawezaje kushindanisha watu wasio na sifa sawa? Sijawahi kuona tembo akishindanishwa na panya. Nadhani sasa umeelewa. Nimetumia simpo parlance ili na wenye akili ndogo waelewe.
Wewe ni father of all ama ni mother of all?kama sio hivo ni father of fool.huelewi kwamba watu wote sio sawa.utofauti wa mawazo na fikra ndo inapelekea mabadiliko ya dunia.mfano wanajf wote wangalikua na akili kama ya kwakwo wote tungalimshambulia aliyeandika thread hii.lakini wanajf hawapo kama wewe numb ama hollow head.mwandishi hakusema lazima umchague fulani bali ameweka propozo.kitu cha muhmu kwakwo ulikua usajest yupi kiongoz bora kwa mtazamo wako na unatoa ubora huo.but wewe hukuenda samba na thread juu ya kuchagua kiongozi bora umempaka mueka thread bila ya kuonesha msimamo wako.wewe inaonesha unaakili za samaki.shame on you too pal
 
kiukweli JJ Mnyika ni role model wangu,namkubali sana,bila kumsahau Tundu Lisu hawa ni moto wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom