Mimi ni freelancer nauza line line za simu sana ila wateja wangu wengi wanapenda mtandao wa VODACOM.
Huwa wanashindwa kunielewa pale wanapohitaji huduma ya SIM SWAP na hapa ni kijijini inakosa, nauli ya mji kwenda na kurudi 17000 wanashindwa kumudu gharama.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi na...
Nitumie app gani kusoma THE CURRENT MAP VIEW, ambayo inaonyesha vitu halisi vilivyopo kawa sasa, mfano nikipaki gari kisha nikaingia kwenye map location Nione kwa muda huo huo.
Niliyonayo kwenye zimu hunionyesha ramani ya siku za nyuma miaka miwili iliopita.
Nina Hernia karibu na sehemu zangu za siri upande wa kulia, sio siri inaninyima raha japo sipati maumivu sana.
Nashindwaga kucheka, kubeba kitu kizito, kuruka, kucheza, kupanda pikipiki nk.
Naombeni dawa.
Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi kuitouch.
Shida yake nini, nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.