Recent content by Morxmir Mwasala

  1. M

    JamiiForums Tanzania MSIGWA apata dhamana

    Hatimaye mchungaji MSIGWA ametolewa leo kortini kutokana na vurugu zilizotokea jana hapa Iringa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uchaguzi chuo kikuu cha ruaha-iringa

    Makanda walikuwa wengi mno. Nadhani kesho watakuwa balaa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uchaguzi chuo kikuu cha ruaha-iringa

    Hatimaye hatua za mwisho kwa ajili ya uchaguzi ngazi ya raisi chuo kikuu cha ruaha kuisha leo, wanazuoni wengi wameonekana kuwakubali wagombea kwa kiasi fulani , pia wagombea wanaoneka kugusa hisia za wadau kwa kukubalika. Kwa ujumla mbwembwe za ushindi jioni ya leo zitajulikana kesho katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Jamani madereva wana huruma kweli!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita 2013.

    Kwanini matokeo yamecheleweshwa kiasi hiki?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Adam Shafi's memoir blows fresh breath to Swahili literature

    Mhusika gani unayekufanya mpaka usitue kitabu chini? Kati ya hawa- Denge, Yasmini, Mwajuma, Inspector Wright, Koplo Matata?
Back
Top Bottom