Recent content by moruoking

  1. moruoking

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Pete Felix O'neal

    Mama C na Mzee Pete 🙏🏿
  2. moruoking

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la kuibwa mtoto Hospitali ya Temeke

    Kuna mtu huko mwanzo kasema - ultra sound inategemea Sana utashi wa msomaji , hajakosea hata kidogo
  3. moruoking

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la kuibwa mtoto Hospitali ya Temeke

    Simaanishi kuwa haiwezekani mtoto kuibiwa ila maelezo ya mama yana mapungufu mengi ambayo ukimuambia daktari au mtu yeyote kwenye kada ya afya - huwezi kumshawishi
  4. moruoking

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la kuibwa mtoto Hospitali ya Temeke

    Kwingine umeongea vizuri , ila paragraph za mwisho kuhusu Makonda na clouds umechafua hali ya hewa, Usichanganye Mambo - naunga mkono hoja kuwa ni Mara chache Sana multiple pregnancy kufika term na pia kuwa na mapacha wenye kilo 3 Kila mmoja (uongo) Mama mwenye mapacha hata kwa bed side...
  5. moruoking

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kadi yangu ya ATM imeharibika na bahati mbaya pia line niliyokuwa nikitumia kwa mobile banking nili renew .. Nimesha report Kuhusu card nikaambiwa itakuwa tayari after two weeks - shida ikaja kwenye Nmb mobile , naambiwa siwezi kujiunga mpaka nitumie Card kwenye ATM ndo nitaweza kujisajili ...
  6. moruoking

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Eztv.ag
  7. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Mimi ni msomaji mzuri tu ila sasa najifunza kuwa mchangia mada pia
  8. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Kiasi ..nipo free
  9. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Hahah .. Sikuwa active mkuu
  10. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Asante mkuu
  11. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Asante sana
  12. moruoking

    JamiiForums Tanzania Jambo

    Nina miaka 7 sasa Jf ila kutokana na sababu mbalimbali , sikuwa active member Tafadhali , nikaribishwe
  13. moruoking

    JamiiForums Tanzania Apps za radio

    Tumia Tunein
  14. moruoking

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum wa kujivua Uanachama ndani ya CCM

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom