First Born, Duhhh kweli nimekuelewa mkuu maisha yamekuwa magumu hata ile morali ya kazi hakuna.
Hapa kazi tuu ni kauli mbiu nzuri sana, lakini sasa ni kazigani pasipo kulaa?
Kula ni haki ya kitatiba ndo maana ukigoma kula unachukuliwa hatua
Sawa na mhalifu mwingine
Sent using Jamii Forums...
Wanaforum habari! Naomba kuuliza iv uhamisho tamisem wamesharuhusu? Maana mm kila nikiandika barua naambiwa na Mkurugenzi kuwa uhamisho umezuiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ninaomba kuuliza jamani ivi kwa sasa hata ukipata wa kubadirishana nae serikakali watakubalia uhame maana mm nimempata ila naambiwa na mkurugenzi wangu kuwa uhamisho umezuiliwa.... Naomba msaada waaana forum
Mbona majibu hayatoki kuwa mbegu hii kwa tz inapatikana au laa. Naelekea kuamini kuwa hizi ni porojo za social media. Pia nimeuliza interval ya shina na shina pamoja na mbegu ngapi kwa kila shina majibu bado sijui mtoa Uzi anagoogle.
Please be open kwa msaada .
Wakuu twendeni shamba. Ila msaada wa upatikanaji wa mbegu hiyo Mkuu. Pia interval kati ya shina na shina na jee shina moja ulitupia mbegu ngapi. Mm Niko Morogoro kilombero mahindi mara2 kwa mwaka. Kwahiyo najipanga nikitoa mpunga nitupie hiyo mbegu.
Msaada mkuu.
Mkuu ulipata gunia ngapi na uliuza sh ngapi kwa gunia au debe manaake hesabu ya mil 3 kwa heka mbili naona kama ume kadiria kwa kadirio la juuu.
Ahsante mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.