Recent content by MoroOne

  1. M

    Treni ya kwenda Moshi ipo au imekufa?

    Hakuna abiria wa kujaza treni kwa miezi ya kawaida wala mizigo, so wanasubiri december, maana wenyeji wa mikoa hiyo (Kilimanjaro na Arusha) wanaenda nyumbani mara moja kwa mwaka. So kwa sasa mafundi wa Trc wanaboresha reli tu haina kazi(White elephant railway). Hongera kwa Morogoro, maana TAZARA...
  2. M

    Inawezekana ikafika wakati Mungu hatotaka kumwangalia tena binadamu

    Ndivyo ilivyo, ndivyo ilivyopangwa iwe ivyo na Mungu mwenyewe, Wema utakapoonekana upuuzi, na uovu ndio wema then Mungu atachungulia duniani na kuona hakuna amfaaye. Atashusha mapigo moja kwa kila mwaka, kama yale ya Farao. Ufunuo umeelezea. Usiofu ndugu, Mungu ameshapanga na itakua. Wewe kaa...
  3. M

    Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Mbona research yako ina ukakasi?, Watu weupe(European),wanakaa mabara 4, au 5, hivi, watu weupe kiasi na wekundu(Waasia) wanakaa bara 1(Asia). Waafrika hawana bara(planet) yao peke yao, Maana hapa Africa, Waafrika wapo kusini mwa jangwa la Sahara wakiwa na nchi 46 katika nchi 54 za Afrika...
  4. M

    Benki za Urusi zathibitisha kuishiwa na Yuan huku kampuni za China zikijitenga na taifa hilo

    Kiufupi tunaesabu muda tu, lakini Putin anajua 2026, atoboi kwa uchumi jeshi alionao. China ameigeuza Urusi kuwa nchi ya Jeshi la Dharula duniani ( Military Puppet), kwamba Urusi apigane vita kwa msaada wa China dhidi ya Magharibi, alafu China ajenge Uchumi wake. Wakati wa Putin na Urusi...
  5. M

    PreGE2025 CCM Itaendelea kubaki madarakani

    Wananchi wa Tanzania, ata kama ni wengi Masikini lakini wanaipenda CCM. Mtanzania hajali anaishi vipi, bali anajali furaha yake, na CCM ndio furaha ya watanzania wengi masikini. Pia si kweli kwamba CCM ni Chama kibaya, au kinaiba kila sehemu, hapana, sehem kubwa kinashinda kihalali, kwa sababu...
  6. M

    Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

    Kenya wana extend Reli yao ya SGR from Nairobi Naivasha to Malaba Uganda. Ndicho walichosaini Ruto uko China sio Ku updrade ulichosema. Hiyo TAZARA ilijengwa na China kwa mkopo wa nchi 2 TZ na Zambia na mkopo bado haujaisha kulipwa, kwahiyo China kutoa ela ya marekebisho mnalalamika, tumieni ela...
  7. M

    Mnunuzi wa Nyumba za Watu Kurasini aanza kutiliwa Mashaka, Hofu ya Utapeli yatanda

    Tabata Matumbi( Upande wa Tabata mpaka Aroma, kufuata mto Msimbazi na mto Aroma), pia Wanafanya Usaminishaji, Chawa Kibao, Kuanzia Chawa CCM, Chawa Viongozi Kata, na Chawa Wa Bosi. Chawa wote wanakula, wanakunywa, na kuondoka na posho kwa gharama ya bosi. Wanasema ni Muarabu wa Familia hiyo hiyo...
  8. M

    Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Mozambique wameshamaliza hiyo, Umoja wa Ulaya wametoa meli ya kwanza hapo kwa kukata utepe, Mama Ursula Van De Layan alikuja hapo kushuhudia meli ya kwanza inatoka, tofauti na Tanzania, Mozambique hawana mbwembwe za kujisifu sana kwa wanasiasa wao kuhusu miradi. Kumbuka sisi tulianza kushimba...
  9. M

    Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    LPG tunaitoa Qatar, ili uipate LPG ni lazima uwe na kiwanda cha kuisindika gas asilia tulionayo ( ambapo kulingana na January Makamba inaitajika Mradi w Tilioni 6 kubadili gas yetu tuliyonayo kuwa LPG ambayo ni ya kupikia). Mozambique wametengeza Hiyo Liquidified Petrochemical Gas na Total...
  10. M

    Yanayoendelea Taliban, Korea Kaskazini kuna uhuru

    Afaghanistan/Taleban ni nchi ya Kihindi ndugu zao ni Pakistan, India, Bangladesh, Sililanka, Myanimar, Bhutan, Leos, Indonesia, Malaysia na Singapore. Waharabu Asilia ni hao wanaokaa katika Jangwa la Arabia, ambao ni Saud, Oman, Yemen, UAE, Qatara, Quweit, Bahrain. Jordan, Syria, Lebanon, Iran...
  11. M

    Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Hiyo Nacala(Nashala) kasikazini ya msumbiji kuna miji ya Mpemba na Palmas hayo maeneo yana reli inayotoka Nashala hadi Nampula kwahiyo kwenda Malawi ni kuongezea tu kutoka Nampula hadi Bulawayo/Lilongwe huko Malawi. Hii imekaa vizuri kwa Malawi/ Zambia na ni Mbaya kwa Tanzania. Changamoto. 1...
  12. M

    Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

    We Muongo sana, Jordan hana mpaka na Lebanon, ramani yako ni ya wapi? Jordana kaskazini amepakana na Syria (Syria ndie amepakana na Lebanon), mashariki Jordan kapakana na Iraq, Kusini amepakana na Saud Arabia, na Magharibi Jordana kapakana na Israel kupitia mto Jordan. Hiyo raman ulio nayo ni ya...
  13. M

    Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

    Tunaomba watuekee Tamthilia za maisha harisi, kama jinsi ya kutoboa wakati huna ajira au jinsi ya kuishi maisha ya leo yaliyojaa usaliti kwenye mapenzi na kazi. Lakini wao wanatujazia Tamthilia za Kituruki, ni ujinga ujinga wa mapanga na visasi. Kiufupi wanaboa sana.
Back
Top Bottom