Habari zenu wanna jamiiforum naitwa Mood ...samahani naomba mnielekeze makao makuu ya halotel yapo mkabala na jengo lipi au jirani na jengo lipi pale Victoria???
poleni sana na majukumu ndugu wana jamiiforum ila me naitwa mohamed kutoka mbez beach shida ya naombeni mniambie ni ofisi ipi ambayo naweza kupeleka CV kwa ajiri ya maombi ya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.