Recent content by MORIO15

  1. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Nanauka: Serikali inatazamia kuanzisha benki ya Vijana

    1. Benki ya vijana Maana yake ni Benki inayolenga vijana, au Benki inayomilikiwa na vijana Faida: Ni rahisi kutambulika. Hasara: Halielezi wazi mfumo wa uendeshaji. 2️. Benki kwa ajili ya vijana Hii ina maana kwamba Benki imeanzishwa kuhudumia vijana Huduma zake (mikopo, akaunti, mafunzo)...
  2. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyewahi kuugua ugonjwa wa herpes, tuelimishe unakuwaje

    Ujue Ugonjwa wa Herpes na Matibabu Yake Herpes ni nini? Herpes ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Herpes Simplex Virus (HSV). Kuna aina kuu mbili za virusi hivi: HSV-1 (Herpes Simplex Virus type 1) – Husababisha vidonda vya mdomoni (oral herpes), maarufu kama “fever blisters”...
  3. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya hiatal hernia na acid reflux

    Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo...
  4. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    (PROSTATE DISORDERS) TEZI DUME NI NINI? Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume anayo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. Kazi ya tenzi dume ni kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume...
  5. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa changamoto za kiafya ninazozipitia

    pima hivi vitu Iron deficiency anemia ni anemia ambapo damu hukosa red blod cells zenye afya na hupelekea mzunguko wa damu kuwa hafifu kwenye mwili. Congestive heart failure. Ambapo chemba za moyo za chini zina feli kupump damu vizuri na kufanya damu kuganda kwenye sehemu za mguu na pia...
  6. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Kwanini "nyoka" huwa anawekwa sana kwenye nembo mbalimbali za mashirika na makampuni?

    Refer hesabu 21-8 Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi. 9 Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi.
  7. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Mlango wa Kizazi inavyowatesa wanawake wengi duniani

    SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER) Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile...
  8. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

    HUUU NI UWONGO
  9. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Msaada, napatwa na muwasho sehemu za siri

    Hii ni dalili ya yeast infections
  10. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo wanisaidie kwa ushauri, nifanyeje ili niwe na afya njema

    Pima hyperthermia au heart stroke
  11. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    VITILIGO NI NINI? DALILI, CHANZO NA MATIBABU. Ugonjwa wa vitiligo, ambao pia huitwa leukoderma, husababishwa pale chembe hai zinazotengeneza melanin zinapokufa au kuacha kufanya kazi. Hilo husababisha madoa na mabaka meupe kwenye ngozi. Huathiri watu wote japo hali hii huonekana kwa haraka zaidi...
  12. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata tiba ya pumu ya ngozi kwa ndugu yangu

    myplusbee, Pumu ya ngozi (Eczema) Pumu ya ngozi au kwa kitaalamu Eczema (atopic dermatitis au atopic eczema) ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha kuvimba kwa ngozi (inflammation). Hii huambatana na ngozi kuwasha, kuwa nyekundu, kavu, vipele na mabaka. Maradhi haya hushambulia zaidi watoto na huweza...
  13. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    VIDONDA VYA TUMBO-CHANZO NA TIBA YAKE Ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao unatokana na pale utando unaofunika kuta za tumbo na kuzikinga dhidi ya madhara ya tindikali zilizo tumboni unapoharibiwa ama kuchubuliwa. Kwa kawaida tabaka la juu la utumbo hulindwa na ukingo...
  14. MORIO15

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu makali ya mguu na mkono upande wa kushoto

    Ttizo hili ni la mda gani
  15. MORIO15

    JamiiForums Tanzania VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    1. Homa za mara kwa mara, moja ya dalili za mwanzo kabisa zinazoashiria kuwepo wa virusi vya ukimwi ni pamoja na kupanda kwa joto la mwili hadi nyuzijoto 38 hadi 39 ambapo joto hili nalo hupanda mara kwa mara. 2. Iwapo utapatwa na dalili hii ya homa za mara kwa mara, pia unaweza kupatwa na...
Back
Top Bottom