Recent content by MORIAH

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Ila bwana viongozi wa chadema huwezi kwa kujilipua wote wako kama baba yao Dr Slaa. Nilidhani ile hoja angehofu maisha yake kama mleta mada alivyosema. Ila inaonekana viongozi wengi wa Chadema akiwepo Aweda hawana hofu na kifo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    PJ, Wewe ni mtu unayeheshimika sana hapa jf, hupaswi kumjibu punguani Mgonjwa Chris Lukosi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Mkuu, kweli kuchakachua ni jadi yenu; Yaani hata taarifa tu unachakachua, huoni aibu hapa Jamvini; Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

    Wewe umesema kweli, Kazi ya zitto ni kupunugaza kasi ya chadema. Hotuba yake Tabora ni kumpinga bosi wake Slaa ili kuwachanganya wanachadema nchi nzima. Shame on you zitto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    Huu ndo ukweli mchungu whether we like or not.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere aliiogopa CCM - Prof. Mbele

    Nyerere my hero
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Haya ndo yalikuwa maelekezo ya Shehe Ilunga, SASA tunashangaa nini?? Hivi yuko wapi? Magazeti ya Al nuur kazi zao kila siku ni kuhubiri chuki tu. Hali hii lazima izuiwe na serikali. Siku moja Radio imani ikatangaza kwamba Mabomu ya Gongo la Mboto yamelipuliwa na wakristo kwa sababu waislamu ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    Wewe una matatizo ya akili, kwa kweli. Hilo sina shaka nalo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Kwa nini waharakishe kumtaja hadharani Victor Ambrose, lakini vijana 4 wa kiarabu hawatajwi majina yao? Kuna nini hapa kinawatatiza Pinada na Emanuel Nchimbi. Unafiki ni mbaya sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu halisi za kukatishwa ziara ya JK uarabuni?

    Natafakari na kuunganisha dots zangu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afunguka TBC kuhusu mabomu Arusha

    Sijajua kwanini jambo linalowahusu waislamu kunakuwa na woga wa kuliweka wazi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi atiwa kitanzini Bungeni, hoja kujadiliwa kikao kijacho

    Wewe bado unaumwa. JF huwezi, inabidi urudi tena marekani ukababe masufuria NA kuwadekia wazungu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi atiwa kitanzini Bungeni, hoja kujadiliwa kikao kijacho

    Namsubiri mgonjwa wa Dr xx aje ajitutumue hapa. Namwona yuko humu. C L umepona??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mil 10 ghafla, nataka ninunue mchele kisha niuze mwezi 10. Je, kuna zao lingine bora zaidi?

    Wadau ktk muda ambao sikutarajia nimepata mil 10 kutokana na mikopo kwa wafanyakazi niliopewa na benki yangu kama mfanyakazi - sikutegemea kabisa japo nilikuwa natafuta fedha hizi muda mrefu. Sasa nataka niende Morogoro ninunue mchele kisha niweke ktk Godown halafu nitauza bei ikipanda. Kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini watoa tamko la amani

    Hili tamko ni aibu, sitaki idhaniwe kuwa limetolewa na waislamu, labda kama ni NGO inoyotetea uislamu tu.
Back
Top Bottom