Mungu ibariki Tanzania. Hatimaye mengi kashinda, naona anaongoza nchi akiwa nje ya serikali. Anatumia pesa kufanikisha ubinafsi wake. Anataka kila kitu kiwe chake, serikali, pesa, madini, mafuta, gas, viwanda, siasa, dini, media. Hataki mtu mwingine kugusa maeneo hayo. Inabidi tumuombee atambue...