Recent content by Morgan Freeman

  1. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Serikali iboreshe mitaala yake ya shule za msingi na Sekondari hususani kwenye KKK [emoji22]
  2. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

    Ni kituo gani au Ni hospital gani hebu tujuze tafadhali
  3. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Deus Gracewell Seif: The godfather of trade unions

    Bado aisee
  4. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Deus Gracewell Seif: The godfather of trade unions

    Wakati Fulani unajiuliza Hawa watu aina ya Huyu bwana Deus Seif ambaye ni katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania anatoa wapi Nguvu kubwa aliyonayo hata Leo hii aendelee kutesa na cheo alichonacho pamoja na tuhuma zote alizo nazo. Bwana huyu tangu ameajiriwa na Chama Cha walimu akitoka kuwa...
  5. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    maisha ni gwaride
  6. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
  7. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Hilo tangazo la kitapeli utawanasisha wenzio
  8. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuhoji; kama maandamano ni haki ya kidemokrasia, kwanini Jeshi la Marekani lilizuia watu wasiandamane Ikulu wakati wa kuapishwa Rais Biden?

    Comrade nadhani unao uwezo zaidi wa kuargue zaidi ya hiki. Tell me huyu si wewe
  9. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Mzee tulia ukuze watoto wako mwenyekiti ashasema uchaguzi umekwisha na hakuna batch mpya ya wateule
  10. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    Safi
  11. Morgan Freeman

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Tai kwenye mzoga

    Very cool
Back
Top Bottom