Recent content by morenja

  1. morenja

    JamiiForums Tanzania Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Master card tigo niwizi mtupu nimerudishiwa pesa zimepotelea hewani ,
  2. morenja

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Mimi nimeacha kabisa kusikiliza na kuangalia yaani ni kichefu chefu.na hakuna chombo kinachotoa uangalizi yaani duhh basi tuu 😢😢
  3. morenja

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Hata mimi ni binadamu tu, ninakosea

    Makusanyo ya Kodi na tozo za kinyanganyi wapi wapi !? 😤😢😢
  4. morenja

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Hata mimi ni binadamu tu, ninakosea

  5. morenja

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    DDuu,Ndugai alilivuruga .Kabudi ataliua kabisa bunge .duuu usiombeee .nn
  6. morenja

    JamiiForums Tanzania Tutakufa wote, seals kwenye chupa za maji safi zirejeshewe

    Huyu waziri ni wakulaani ni heri angeamuru seal za plastic zisitumike ila baadala watumie za karatasi.kama hoja ni plastic na sio kuagiza tuu toa seal basi .huu ni ushetani
  7. morenja

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

    Brown rangi ya udongo ndio binadamu original .weusi wa kuzidi umesababishwa na eneo tunalo ishi jua Kali 😃😃😃
  8. morenja

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    Kama ujui Yesu sio Mzungu ni mwafrika ndio maana alienda kufichwa Egypt kwa waafrika.kwakuongezea Israel ilikuwa na ataa Leo hiko bara la Africa .umeona wapi bara likatenganishwa na mpaka .Misri ni afrika inaiachaje Israel jirani yake !?
  9. morenja

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    Zingatia pia hakuna nabi Wala mtume Mzungu .Muarabu Wala Muasia .mitume karibu wote wanatokea uajemi na Africa na bila kubabaishwa Israel ilikuwa na ataa Leo hipo bara la Africa .na kama hujui mtume Ibrahim mke wake wa tatu na ambaye amezaa nae watoto wengi 6 ni Ketura mwafrika na ataa Yule...
  10. morenja

    JamiiForums Tanzania Wenye daladala, bodaboda na migahawa walia baada ya machinga kuondolewa Kariakoo

    Hiyo nchi ingine unayoseme .haziruhusu kabla ataa machinga wa kwanza ajapanga bidha barabarani
  11. morenja

    JamiiForums Tanzania Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

    HIlo jengo hapo kijijini ni kubwa mara 4 ya jengo tanesco mkoa wa Arusha
  12. morenja

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Ipo nchi GB 1 unanunua kwa dola 15

    Gb1 $15 kama ni marekani . Kima Cha chini saa 1 $20 Tanzania saa 1 Tsh 2,770 Usa $20 =75% $15 gb1 Tanzania Tsh 2,770 =75% tsh2,000 gb1 ,wapi tofauti au nafuu⁉️ ,Hii mifano imepitwa na wakati kutumika kulaghai umma ,mwambie Msigwa asirudie Tena kucomment ujinga bali atoe taarifa ya serikali kama...
  13. morenja

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa siasa zimekufanya usahau ulipotoka? Acha kudharau watanzania

    Gb1 $15 kama ni marekani . Kima Cha chini saa 1 $20 Tanzania saa 1 Tsh 2,770 Usa $20 =75% $15 gb1 Tanzania Tsh 2,770 =75% tsh2,000 gb1 ,wapi tofauti au nafuu⁉️ ,Hii mifano imepitwa na wakati kutumika kulaghai umma ,mwambie Msigwa asirudie Tena kucomment ujinga bali atoe taarifa ya serikali kama...
Back
Top Bottom