Recent content by moreen baby

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anaepajua Mbezi juu anielekeze

    habarini kwa anaepajua mbezi juu naomba anielekeze naenda kwenye usahili wa necta
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada waliofanya usahili TEMESA

    ok mkuu asante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada waliofanya usahili TEMESA

    kwa waliofanya usahili temesa mmeambiwa ni lini wanaanza kuajiri msaada tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofanya usaili Magereza

    habarini jaman kwa wale waliokwisha kufanya uswahili magereza naomba mtujulishe ni maswali gan wanaulizwa na vip panel yao n ya watu wangapi maana na presha nayo
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje hii kwa wanawake na wanaume tafadhali

    sayansi ya kawaida haha limekushinda
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje hii kwa wanawake na wanaume tafadhali

    Habari wana MMU Inakuwaje mwanamke una mpenzi wako mnapendana sana ila kila unapotaka kuingia period (siku zako) mwanaume wako ndo anaumwa tumbo anatoka chunusi kiuno vyote vinamsumbua na ile hali hamjafunga ndoa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    siyasemei ya dodoma na mi siyajui sana duh eti kwelii jaman
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    msijali jamani wapendwa ITV ipo kwa ajili yenu Bunge litarudiwa kwa sehemu Ambayo itakuwa imewapita patarudiwa
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Missed call ya shemeji

    hadith nzur lakini sijajua hatima ya yule dada wa aisha na ile mimba aliyokuwa nayo daudi njo unijibu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwana MMU kwa upande wako siku ya kwanza ilikuwaje?

    ngoja nimuite uran aje aseme ilikuwaje
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kimekupita

    teh teh m ya 13 ndo hatari hako kamchezo ni noumaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kimekupita

    Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90's... 1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper 7...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya maombi ya kazi Utumishi

    asante sana mkuu ntafanya ivoo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya maombi ya kazi Utumishi

    asante mkuu kwa kunikumbusha ucjali neema ya mungu itakusaidia endelea kuomba
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya maombi ya kazi Utumishi

    asante mkuu ntaandika kwa mkono
Back
Top Bottom