Recent content by more88

  1. more88

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza sense of smell siku ya 4 leo. Mungu fundi

    Mimi mbavu zinabana nikikohoa mtaa niliopo wengi wanaumwa hii kitu nahisi kama bado ipo
  2. more88

    JamiiForums Tanzania Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

    Nahis pm alishtuka sana hakutegemea ila nimemsaidia kujisikia vibaya kama ni mimi vile nimeambiwa.
  3. more88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

    nashuru mungu kuumbwa wa kiume.
  4. more88

    JamiiForums Tanzania Tumeikumbuka Dar ya Makonda ghafla

    Huyu ni #yeye#
  5. more88

    JamiiForums Tanzania Hii style ya Harmonize kuchukua beat na kurudia nyimbo atakuwa ametoka nayo huko alikotoka?

    Rekebisha tena hiyo lekebisha
  6. more88

    JamiiForums Tanzania Epuka uhalifu unaofanywa na wasajili laini za simu, piga *106# kuhakiki namba zilizosajiliwa kisha weka namba yako ya NIDA

    nimepiga simu nshazifunga Shida itakuwa namba za siri kwenye kutoa hzo pesa
  7. more88

    JamiiForums Tanzania Epuka uhalifu unaofanywa na wasajili laini za simu, piga *106# kuhakiki namba zilizosajiliwa kisha weka namba yako ya NIDA

    Aisee hawa vijana wanaosajili line mtaani wanafanya uhalifu ambao kimsingi wanatakiwa kwenda jela. Leo nimehakiki line nilizosajili kwa kitambulisho cha NIDA, aisee nimeshangaa yani kukuta namba kibao ambazo sijazisajili kumbe kuna uhuni wanakufanyia unaposajili kumbe kuna namba zao...
  8. more88

    JamiiForums Tanzania Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Huku pia ni balaa
  9. more88

    JamiiForums Tanzania Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Ni kweli mkuu nlishawahi kuhudhuria fiesta moja ilifanyia kiwanja flan cha chuo kikuu aisee madem wa chuo wanajirahisisha sana kwa wasanii.
Back
Top Bottom