Recent content by More problems

  1. More problems

    JamiiForums Tanzania Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Hela za walimu zinaliwa na watu wengi ktk suala la mtihani ndiyo maana wanapata kidogo. Kwenye mitihani utawakuta usalama, polisi, takukuru wote hawa wanapiga hela zilizopaswa kulipa walimu
  2. More problems

    JamiiForums Tanzania Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    Alikuwa pushed kutoa lugha ile. Haikuja tu.
  3. More problems

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Kuchanganya divai na maji sio kwa lengo LA kupunguza ukali. Yesu alipochomwa mkuki ubavuni damu na maji vilitoka. Divai huchanganywa na maji kwa 7b hiyo kuenzi hilo tukio
  4. More problems

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Kitabu cha Sira sura ya 31 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu. 28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi, kwaleta shangwe moyoni na furaha...
  5. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakumbuka babu aliniambia, mjukuu wangu ukitaka kuoa mwanamke mchunguze vidole vya mguu

    Nitajuaje???
  6. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una mwanamke wako anayeimba kwaya andika maumivu

    Ukimpa nafasi ya kukaa karibu na mwanaume kwa muda wakawa na interest zinazofanana tayari kaliwa labda mwanaume awe hayuko tayari Wanawake wanafall haraka sana kwa wanaume ambao wanakitu cha tofauti mfano talent, pesa nk
  7. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

    Kuoa ni kutoa sadaka maisha. Ndoa ni taasisi ambayo inakupima uvumilivu, kuchukulia poa na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi. Ni taasisi ambayo mwanaume kama mkurugenzi unajiweka wazi kwa ajili ya kupata stroke, pressure msongo. Wanaume wengi walio kwenye ndoa wana msongo wa mawazo au ni...
  8. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

    Nadhani serikali ipige marufuku hii biashara maana itakuja kuleta madhara makubwa katika jamii. Wengi wataugua magonjwa ya moyo na pressure kwa sababu dawa hizo huchochea zaidi mzunguko wa damu
  9. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

    Hizi habari za muda wa kumaliza round zinaiharibu jamii na ndipo wale wanaouza dawa wamefanikiwa kuwafanya watu wajione wana matatizo sana hivyo wanaamua kutafuta suluhisho Wanaoathirika zaidi ni vijana wanaosoma haya mabango. Wakilinganisha uwezo wao na ule unaoandikwa
  10. More problems

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    Hajapachimba??? Aliyltuahidi patachimbika
  11. More problems

    JamiiForums Tanzania Makonda is almost so damn right!

    Tatizo lako na makonda nibkutozingatia mazingira Maneno Yale angeyasema harusini yasingeleta shida
  12. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

    Atafutaye hachoki. Sifa ni nyingi sema ni imagination tu.
  13. More problems

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

    Ila Dada kamuangusha, yupo tu anakula nguvu za baba, anapiga silent mode hakati uno kama gogo....shwaini
Back
Top Bottom