Recent content by Mopao Mokonzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mizani yenye uwezo wa 300 Kg

    Wakuu naomba mnishauri upi mzani mzuri kati ya digital au manual wenye uwezo up to 300kg. Pili ni wapi zinauzwa kwa Dar es Salaam. Asanteni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Kuku flani warefu sana na wana manyoa machache. Hata majogoo upanga wao ni mdogo sio kama wengine
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Wadau mi natafuta jogoo la mbegu especially Kuchi. Kwa mwenye kuuza na yuko hapa Dar tuwasiliane 0756776368.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kaka Elnino umetisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya 1 - Septemba 20-21, 2014

    Jaja chaliiiiiiiiiiii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

    Duh, lakini Roma hajapotea mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viko tayari kufanya kazi chini ya wapinzan endapo CCM itashindwa katika uchaguzi?

    nyie jamaa matusi humu ya nini? kweli wewe ni 'Great Thinker' au umekosea mlango???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viko tayari kufanya kazi chini ya wapinzan endapo CCM itashindwa katika uchaguzi?

    kisaikolojia kwa sasa hawako tayari. Lakini iwapo 'neno' neno litatimia watajiseti na kukubaliana na uhalisia. ila kwa wale walikuwa wanajifanya nao ni makada, watapaswa kushughulikiwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    dah, ajira imekuwa tatizo kubwa sana. Hata hizo kidogo zinazopatikana watu wanapeana kwa kujuana
Back
Top Bottom