Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Mkuu Malila kwanza nashukuru nashukuru kwa taarifa,pili nauliza kwani hakuna usafiri wa boat wa kufika kwenye hicho kisiwa?na kama unafahamu bei za hao kuchi original zipo vipi huko kisiwani?nashukuru!

Ngoja kesho nivute uzi kule ili nipate bei za pale kisiwani.
 
Nashukuru Mkuu,i am waiting

Mambo sio mabaya, nimempata mhusika mmoja ambaye katoka kisiwani Mafia, nimefika kwake na nimemkuta na jogoo original la kuchi. Ameniahidi kutusaidia ili mdogo wake awalete Mkuranga kupitia Nyamisati. Huyu jogoo aliyepo hapa kwake anamuuza Tsh 50,000/ na jogoo mwenyewe ni mkali sana, kauwa majogoo mawili ya majirani wa jamaa, hivyo lazima aondoshwe hapa.
 
Mkuu Malila nashukuru kwa taarifa!,mdogo wa huyo jamaa amesema anategemea kuleta Kuchi original wangapi?itakuwa baada ya muda gani?na bei yake itakuwaje?tufahamishane tafadhali
 
…duuh hayo makuku yananikumbusha kule Afghanistan , au Pakistani huwa wanayapiganisha , ilikuwa hatukosi mpaka huo mchezo uka tu addict , yaani alikuwa na majina ya mabondia wote wakubwa!
 
Mkuu Malila nashukuru kwa taarifa!,mdogo wa huyo jamaa amesema anategemea kuleta Kuchi original wangapi?itakuwa baada ya muda gani?na bei yake itakuwaje?tufahamishane tafadhali

Nipo online nasubiri anipigie, jana nimeshindwa kuchukua jogoo mmoja niliyempata sbb ya kutokuwa na maandalizi huku shambani kwangu sababu ni mgomvi sana, na vijogoo vyangu ataua vyote, kwa hiyo nimemwacha ili nirudi nijenge kwanza uzio. Bei ilikuwa 50,000/ kwa huyo wa jana.
 
Nami naomba kuuliza mwenye ujuzi,maana nami nimejitahidi kuwatafuta hapa Entebbe Uganda bila mafanikio, sijui nawezaje kupata mtu na jinsi ya kuwatuma huku
 
Mkuu Malila nashukuru kwa update!
 
Mkuu Malila nashukuru kwa update!

Tayari nimepata contact za dogo Mafia, tumekubaliana kuwa yy atakuja nao mpaka Nyamisati Bandarini, kila kuchi original bei ni Tsh 50,000/ wanaoanza kuwika au wale ambao bado kuwika, na Chotara iwe buku 30,000/. Kwa hiyo aliye tayari atume pm au hapa hapa jamvini aseme, mimi nimeagiza kuchi original kumi kwa ajili ya mbegu. Chotara nitawapata Ikwiriri na Kuruti kisiwani.

Ni vizuri anayetaka aseme na jinsia ya kuchi,isije jamaa akakusanya madume mengi badala ya majike mengi.
 
Nami naomba kuuliza mwenye ujuzi,maana nami nimejitahidi kuwatafuta hapa Entebbe Uganda bila mafanikio, sijui nawezaje kupata mtu na jinsi ya kuwatuma huku

Taratibu za kusafirisha wanyama ni ngumu sana, ningekusaidia.
 
Nipo online nasubiri anipigie, jana nimeshindwa kuchukua jogoo mmoja niliyempata sbb ya kutokuwa na maandalizi huku shambani kwangu sababu ni mgomvi sana, na vijogoo vyangu ataua vyote, kwa hiyo nimemwacha ili nirudi nijenge kwanza uzio. Bei ilikuwa 50,000/ kwa huyo wa jana.

Mi natafuta jike
Nilinunua kifaranga kikubwakubwa nikujua ni jike, nikamweka na jogoo la kienyeji mwanzoy jogoo alikuwa akionyesha makeke lakini alivokuwa naona anawadunda wenzie kila muda ni kupigana nikashangaa
Nimehisi ni jogoo ingawa mpk sasa sijaprove
Naomba kupata jike nione
 
Huyo ni jogoo, jitahidi sana ununue mtetea. Jogoo la kuchi litaua kuku wengine hapo hasa majogoo ya kienyeji.
 
Nami naitaji mbegu ya kuchi plse

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom