Waziri Silaa aje atembelee UKEREWE alone hali ilivyo. Hakuna National housing; watu, wafanyakazi wanalazimika kuishi katika makazi duni ya kupanga ambayo hayaridhishi. Hamna hoteli wala majengo kwa ajili ya benki. Tafadhari njoo uone hali halisi.
Kuna beach safi sana kule Rubya ambazo zingefaa...
Utashangaa, mtu akipewa post kwenda Ukerewe anagoma hadi kwa mbinde, akienda aka fanya kazi miezi miwili mitatu basi..hata akipewa transfer hakubali bora aache kazi kuliko kuondoka Ukerewe. Kunani huko jamaniii?
Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!!
Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili.
Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine ni dakta au litafutwejina jingine. tuwaachie matabibu jinalao na heshima yao wanayo stahili.
Kwa anayetaka kuinvest kwenye crypto: Nunua BUXCOIN ambayo ni 3rd generation na ina trading platform yake yenyewe. bado iko changa Euro 0.3 kwa coin kwa miezi 20. Minimum nvestment Euro 200
Mhhh... nashawishika kuwaza saana!
Pamoja na kwamba nisingependa kuafiki msimamo wako lakini umenifungua macho na akili yangu. S vizuri kukubishia moja kwa moja lakini maneno yako yana punje kiasi za ukweli. Wataalam fungueni macho, Bill Gate na Monsanto si wa kuwaamini sana. Ni MUUMINI MKUU wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.