Recent content by moonlightj12

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ocean Road Cancer Institute acheni ukatili, tumelipia dawa halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha

    Kwa huzuni sana Hawa watu hawana huruma yaani ni wakatili mno. Kweli tumelipia dawa miezi yote hii halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha nyie watu nyie muogopeni Mungu. Dear mama Samia sijui kama unapitiaga social media ila kama unapitia tunaomba tusaidie mama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utata Ocean Road Cancer Institute, mnavyofanya si sawa

    Wasalam wakuu, nimepata changamoto kidogo kwenye hii taasisi Mzee wangu anasumbuliwa na Cancer alifanyiwa operation wakatoa uvimbe, then tukapewa referral kwenda Ocean Road Cancer Institute tulipofika tulipokelewa tukapewa utaratibu. Tukaambiwa tulipie shilingi milioni tatu na laki sita kwa...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko hai sababu ya mtoto wangu

    Mungu ashukuluwe kwa ajili Ako, But as for me ni mwaka wa Tano and counting kila siku linazaliwa jipya kila leo afadhali ya Jana Mungu anikumbuke uniombeage my dr Sina ata nguvu ya kuomba tena Mungu tu anihurumie
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko hai sababu ya mtoto wangu

    Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani. Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza kumuomba Mungu nife hata leo nipumzike, but ni vile nina jukum la kulea na kumlinda huyu kijana wangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    [emoji2760]
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutembea na baba mkwe

    Yaani ni hatari ndo ii unaskia flani kaua mke wake tunamlaumu baba wa watu kumbe kuna mengi nyuma....
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutembea na baba mkwe

    Hata mi natamani iwe chai maana namuonea huruma sana huyu baba tena Bora mkewe angekua mkimya asingeshare na watu[emoji17][emoji17][emoji17] mim mwenyewe natamani kumwambia sema naogopa ntamuua Bure
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutembea na baba mkwe

    Wasalaam wana jamvi Waswahili wanasema kua uyaone, Kwenye Maisha yetu ya mahisiano kila mmoja anapitia changamoto yake. Jana katika maongezi na shoga angu wangu wa dasilama au daslam kama mnavoiita wenyewe akawa ananieleza changamoto yake na kuomba ushauli, Bibi huyu ni mke wa bwana mmoja...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwachukulie poa wanaume

    Habari wana jamvi Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo mumewe hua kuna muda anataka kukaa mwenyewe. Kwaiyo amekua akiiba Hela ndan hata 10m anaondoka...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kondomu ya kwanza Duniani

    Najarbu tu kuwaza, wazee wetu hawakua wajinga kiivo lazima walitengeneza katika namna ambayo mama zetu waliipenda na kwa ugum wa Ganda la Kobe afu litengenezwe kwa ustadi[emoji848][emoji848] nadhani ilikua condom pendwa kwa miaka io sijui lakini najarbu tu kuwaza
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kondomu ya kwanza Duniani

    Kondomu ni kifaa/zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana. Kwa kawaida kifaa/zana hiyo hubana kufuatana na umbile la uume au uke. Historia Matumizi ya kondomu yamefahamika tangu miaka mingi iliyopita, japokuwa hatuna hakika kama ilitumika kuzuia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fidia kwa mfanyakazi aliyeumia kazini inakokotolewa vipi na huchukua muda gani?

    Habari humu Ndani nilikua naomba kujua kama mtu anajua namna fidia kwa mfanyakazi inalipwa endapo kaumia kazini. Yaani inakua calculated vipi na malipo yanachukua muda gani?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto mshirikina

    Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia. Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo. Ntakuja na Uzi...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamua kuoa sasa, kuijenga ngome yangu, ila nimuoe yupi kati ya hawa?

    Amani ya moyo wako iamue na Mungu akukumbuke
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamua kuoa sasa, kuijenga ngome yangu, ila nimuoe yupi kati ya hawa?

    Mambo si ndo ayo oa wote jitambulishe kwa wazazi washndwe wenyewe ila wewe kua huru Usibebe lawama za watu kwenye mabega yako We all make mistakes kuna wengine ni worse kuliko Ata wewe kuna mwamba namjua he's 31 na ana baby mamas 10 na watoto 11 just imagine It's not late make the right...
Back
Top Bottom