Kondomu ya kwanza Duniani

moonlightj12

Member
Dec 6, 2022
33
90
Kondomu ni kifaa/zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana. Kwa kawaida kifaa/zana hiyo hubana kufuatana na umbile la uume au uke.

Historia

Matumizi ya kondomu yamefahamika tangu miaka mingi iliyopita, japokuwa hatuna hakika kama ilitumika kuzuia magonjwa ya zinaa, kupanga uzazi au kama ilihusishwa na matumizi ya juju, [yaani kichawi]

Wajapani na wachina ni watu wa kwanza kutengeneza condom

Aina ya kwanza ni zile zilizotengenezwa kwa utumbo wa kondoo au mbuzi na zingine zilitengenezwa kwa ganda la Kobe, ambazo zinasemekana kuwa hazina uwezo mkubwa zikitumika kama kidhibiti mimba, wala hazina uwezo wowote wa kuzuia maambukizo ya magonjwa ya zinaa na virusi vya ukimwi.

Screenshot_20230121-093742~3.jpg
 
Nyie wanawake zetu imagine mnaingiliwa na gamba la kobe
Najarbu tu kuwaza, wazee wetu hawakua wajinga kiivo lazima walitengeneza katika namna ambayo mama zetu waliipenda na kwa ugum wa Ganda la Kobe afu litengenezwe kwa ustadi nadhani ilikua condom pendwa kwa miaka io sijui lakini najarbu tu kuwaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom