Recent content by moondampwani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maini ya mnyama ni matamu sana lakini...

    Maziwa yanaondoa Sumu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukojoa mara kwa mara

    Apimwe Sukari
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Mimi sijui lini nimetembea mchana usiku iko poa sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Bado sijaichoka mkuu ina mwaka tu, Gari tamu sana, nazionea sana crown kluger harrier barabani iko very powerful
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Amin
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Sawa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Nimeongea na Mkurugenzi wa vanilla int akisema kuwa vanilla inakubali popote na wanailoma kwenye green house maana yake lazima kuwa na system ya umwagiliaji(irrigation system) sijui kama hiyo iko Sawa kwa uzoefu wako, na je umelima hiyo vanilla?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Ndio nipe na faida na changamoto zake, masoko na faida ikoje, nimewahi kumsikia anaejiita Mkurugenzi wa vanilla int hapa Tanzania akisema zao la vanilla hulimwa popote na wewe linakubali sehemu za baridi tu vipi hapo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na uhamasishaji mkubwa sana juu ya kilimo cha vanilla hapa nchini Tanzania, wahamasishaji wanadai kuwa zao la vanilla ni zao lenye faida na lina utajiri mkubwa sana tena wanasema ni zaidi ya madini. Mimi binafsi nashawishika kuingia kwenye Kilimo hicho ila tu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Inawezekana pia hajawahi kupanda Gari Hilo lkn amekuwa anananga hadi mwisho
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Subaru Gani unaizungumzia kuna Mtu katembea na 200 na Gari imetulia.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Kuna Subaru xt yenye cc 2500 unaijuwa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Acha nitoe ushuhuda kidogo kwani ninamiliki Subaru xt ya 2010 yenye cc 2456 + turbo charged Ej 25, speed 240 ph, ni bonge la Gari, nainjoy sana, ina nguvu ni hatari,ila inahitaji care sana pia spare ni ghali ukilinganisha na Gari nyingi, barabarani inatulia sana haiyumbi hata kidogo, si bravis...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Mimi ninayo ya cc 2456 +turbo charged speed 240 ph
Back
Top Bottom