Recent content by MoonBoy

 1. MoonBoy

  Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

  Nimejaribu Kwakweli lakini sikupata msaada wowote na salio lilikuwepo
 2. MoonBoy

  Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

  Kiwango kilikuwepo imekataa
 3. MoonBoy

  Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

  Nimewahi kufanya hivyo, lakini ikakataa... Niliandika 150,000 ikakataa... Sasa sijui iandikwe vipi
 4. MoonBoy

  Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

  Nataka kujua namna ya kutoa pesa kiwango chochote. Kwa mfano nataka kutoka laki na nusu. Lakini nikiangalia viwango pale kwenye skrini sioni laki na nusu. Je? Nawezaje kutoa kiwango cha tofauti na kilichopangwa, nimeona sehemu ya kuandika, ni kajaribu lakini ikakataa, sasa labda kuna namna ya...
 5. MoonBoy

  Madereva wanahitajika MSD

  Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 6. MoonBoy

  Madereva wanahitajika MSD

  Hizo C zingine ni vigezo tosha, ila C kavu ndio kubwa kuliko zote... Na hio kuipata lazima usome Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 7. MoonBoy

  Madereva wanahitajika MSD

  Mimi nina cheti cha udereva tu kutoka veta... Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 8. MoonBoy

  Natafuta kazi ya Udereva

  Sikati tamaa, mana mimi ni wakiume tu.. Ila nikipata ramani yeyote mimi nitafanya tu... Shukrani kaka Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 9. MoonBoy

  Natafuta kazi ya Udereva

  Asante sana ndugu Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 10. MoonBoy

  Natafuta kazi ya Udereva

  Shukrani ndugu yangu,... Napitia changamoto ngumu mpaka nahisi niko peke angu mwenye shida Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 11. MoonBoy

  Natafuta kazi ya Udereva

  Naitwa Rashidi omary Khatibu, umri wangu miaka 27, Mzawa wa tanga... Ila kwa sasa naishi Arusha Kazi niliokua nafanya ni kusafirisha mizigo mbalimbali kwenda mikoani kwa njia ya maroli, nikiwa kama dereva... Ila kwenye kazi kama mnavyojua hazikosi kasumba ndogondogo. Nina mwezi wa sita sasa...
 12. MoonBoy

  Madereva wanahitajika MSD

  Hio C na E, Nazijambia tu kwenye Wallet, kazi hakuna, natafuta mpaka natamani kuingia hata nyumba binafsi Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 13. MoonBoy

  WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

  Pole aseee, kweli zege lina wenyewe, nalijua vizuri sana, lataka moyo Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 14. MoonBoy

  WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

  Toa njia tuanze ndugu Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 15. MoonBoy

  WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

  Jamaa umenichekesha sana wewe... Daaaaahhhhh pole sana Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Top Bottom