Recent content by Moodriqy Ibn Qandahary

  1. Moodriqy Ibn Qandahary

    Wakuu nimekamilisha ujenzi wa mjengo wangu. Naombeni ushauri niweke bati aina gani na kampuni ipi ina bati nzuri?

    Mijengo sampuli hiyo ipo ila juu ya Dar unahifadhi bangi au siraha. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Moodriqy Ibn Qandahary

    Nina matatizo ya kifedha na sina msaada wowote. Nimepanga kuwatelekeza mke na watoto

    Mie naunga mkono hapo yaani utapata laana aisee mwanamke akinung'unika utamfanya ajiuze mwenzio maana kuiba hawezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Moodriqy Ibn Qandahary

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Kuna [Waislamu&Waswahili] kaka!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Moodriqy Ibn Qandahary

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Dadaa kwanza Ahsante kwa taarifa hiyo ila Umeteleza Uislamu halisi hauruhusu kufungamana katika Ndoa baina ya Muislam na Kafiri siihitaji kwenda Deep saana kielimu ila hairuhusiki kisharia kama hatobadiri kuwa Muislamu siyo ndoa halari watakuwa wanazini tu, Utaratibu huu hata Maaskofu wanaujua...
  5. Moodriqy Ibn Qandahary

    Wanawake na nywele bandia

    Hawajitambui na hawajiamini mianamke iko feeki saana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Moodriqy Ibn Qandahary

    Wanawake na nywele bandia

    Umeropoka saana waala hujayapima maneno ya Mkuu kwa hekima. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Moodriqy Ibn Qandahary

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mtoa Uzi waala hujitambui hujauliza kana kwamba hufahamu au una shida ya kujua bali umekwishajiandalia majibu yako ya kipuuzi na pombe za kualikwa ulizokunywa leo, Qur an hawaitafasiri hivyo kwa kuchukua au kuokota tu aya kama lisomwavyo Gazeti la Udaku au si mchezo kuna Maulamaa waliobobea...
  8. Moodriqy Ibn Qandahary

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    We mchamba saana Allah hajawahi kuzungumza jambo likabainika kuwa ni la uongo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Moodriqy Ibn Qandahary

    Naombeni ushauri kwa hili

    Bwana kwanza samahani kwa kukuelewa vibaya, Mie ushauri wa pili kama ingekuwa ni mie ningewauwa kwanza woote waliombaka, Kisha namuoa na kwenda kuishi mbaali kidogo nisikofahamika, Siombei lakini Mwanangu,Mama yangu,Dada yangu au mkewangu akibakwa ilihali nipo hai na mwenye afya siwagusi au...
  10. Moodriqy Ibn Qandahary

    Naombeni ushauri kwa hili

    Mie nashauri muoane kisha muhame mji pia, Umemsifia kuwa anayo deen hasa siyo kweli asingekubali kuishi nawewe kijumba bila ndoa, Mwisho aliyebaka na anayezini bila ndoa ni wale wale tu tofauti huyo ametumia nguvu nawewe umebembeleza.,
Back
Top Bottom