Recent content by moodchapter

  1. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kusoma degree ya kemia nikiwa nina Diploma Maalum ya Ualimu wa Sekondari (Kemia na Baiolojia)?

    Nimesoma diploma maalum ya ualimu wa sekondari(kemia na baiolojia) miaka mitatu ila nimemaliza nahitaji kujiendeleza nje ya ualimu nisomee degree ya kemia- je inawezekana?
  2. moodchapter

    JamiiForums Tanzania HUDUMA: Usafi wa majumbani na wahudumu wa kazi ndogo ndogo

    Nahitaji mkuu
  3. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Mi nimejaribu hivyo unavyosema ila nikitoka nikirudi nazikuta
  4. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Mi nimejaribu kufuta toka juzi lakini kila nikiingia kuchek nazikuta nilizofuta
  5. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Shukran mkuu
  6. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Naomba kuuliza wakuu cv tunaiattach wap maana naona inahitajika
  7. moodchapter

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA BINTI WA KAZI ZA NDANI

    Habari zenu wakuu, nipo musoma mjini natafuta binti wa kazi za ndani VIGEZO. -Awe anajua kusoma na kuandika vizuri -Awe anajielewa -Awe na tabia njema -Awe anatokea mikoa jirani(Mwanza,Shinyanga au hapa Musoma) Kwa alie tayari anitafute 0764094582
  8. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Mmmh tunapeana matumain tu hakuna anaejua ukweli
  9. moodchapter

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kama utafanikiwa kurejea tena Madarakani 2020 - 2025, ufanye Mtandao huu wa JamiiForums kama ndiyo Mshauri wako Mkuu

    Nikweli unayosema ila unazani ni rahis kumtoshereza kila mtu.
  10. moodchapter

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Unauhakika au ndo maneno ya mkosaji
  11. moodchapter

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Maneno ya mkosaji2
Back
Top Bottom