Ungekuwa mzalendo unaeyaishi maneno yako ungekuwa ushahoji zile risasi 38 alizopigwa yule bwana eneo la viongozi hadi leo hakuna RB Polisi, halafu unaisema bila woga eti uzalendo, subirini, saa inakuja, Tena imekaribia
Mbona risasi za Lisu mnashangilia hadi leo?! Tulieni, kunachemka. Malipo...