Recent content by MONSI WENGA

  1. MONSI WENGA

    Lori la mafuta lalipuka MOIL, Kigamboni

    Alikuwa busy kuchota mafuta, wazo la picha atoe wapi.
  2. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mbaya kama hatufuati kanuni za afya, tuepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, tuvae barakoa na tunawe mikono.
  3. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Imestawi hasa Wilaya ya Kyela. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Malaya ni mwanaume au mwanamke mwenye tabia za uzinzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MONSI WENGA

    Wengi wajitokeza mnada wa makontena ya Makonda

    Vipi Dr. Shika amekwishafika hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jukwaa la Yanga leo lilipendeza hadi Simba wakaona wivu.
  7. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kujificha kwa mashabiki wa Simba wakati Yanga wakikabidhiwa kombe ni utovu wa nidhamu.
  8. MONSI WENGA

    Kutana na Mabior Garang De Mabior, Waziri wa Maji wa Sudani Kusini, Waziri "msela" aliyefukuzwa kikaoni sababu ya mavazi

    Huyu jamaa inaonekana mtu wa majani kwa sana, bandidu na mtu akiingia kwenye anga zake haponi.
  9. MONSI WENGA

    Watch "Snura - Chura Dance alafu sema chochote

    Mmh! Huyu Snura ni jipu, Video haifai kabisa kutazamwa na watu wastaarabu. Basata fungia hii kitu, haifai kabisaaaaa......
  10. MONSI WENGA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Usalama wa nchi hii upo mikononi kwetu mimi na wewe.
  11. MONSI WENGA

    CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

    Mkuu weka picha tujieridhishe na ukweli wa habari yako.
  12. MONSI WENGA

    MSAADA: Jinsi ya kufuatilia mirathi ya MWANAJESHI aliyefia kazini

    Kaeni kikao cha ukoo wa familia na mteue msimamizi wa Marathi, mkisha mteua anapashwa kwenda mahakamani kufungua shauri la mirathi kuthibitishwa na nyaraka anazopaswa kwenda nazo mahakamani ni Muhtasari wa kikao na cheti cha kifo cha marehemu. Baada ya Mahakama kumthibitisha msimamizi wa mirathi...
  13. MONSI WENGA

    Mahakama ya mwanzo makuyuni-mombo katika wilaya ya korogwe(v) ni mwiba kwa wanyonge

    Pole mkuu. Mahakama hiyo sio ya mwisho kimaamuzi, bado unayo nafasi ya kupigania haki yako kwa kukata rufaa mahakama ya wilaya ambapo watachambua ushahidi wa pande zote mbili na kutoa haki kwa mwenye haki. Pia kama hautaridhika unweza kukata rufaa mahakama kuu na baadae mahakama ya rufaa.
  14. MONSI WENGA

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Ameliabisha kanisa. Anapaswa kurudisha fedha na kutubu.
Back
Top Bottom