Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi
Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD.
Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
Weeeh maana hali niliyonayo ni kama uliyonayo wewe kwa wakati huo kulingana na maelezo yako ni hiii amoxilin ya vidonda kama sikosei na hizo dawa ni vidonge au kimiminika
Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili
Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.