Recent content by Monnature

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa chuo

    saf sana mdau kama kuna muhusika kaipata tutegemee utendaji kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Thanks
  3. M

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Nimemaliza mwaka jana; nina 3 ya 11, physC chemC na biosB nikawa not slected due to program competetion, nlijaza MD mara 4 vyuo tafauti tafauti na pharmacy 1, sasa mwaka huu nahitaji kusoma MD hata HkMU. What to do?
  4. M

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Mimi ni mdau nliepiga 3 ya 11 an phyC chemC na biosB mwaka jana nikawa not selected due to prgrm cmpttn cos nlijaza MD zote vyuo tafauti tafauti sasa lengo langu ni MD mwaka huu nifanyaje, piga garagaza maana ndio ndoto yangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Anafanyaje hiyo transfer
  6. M

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    hiv wale ambaw hawakuchaguliwa fist selection na TCU na second selection available slots hazikuw ndio lengo lao, mnawashauri nn au watatimiza vp ndot zao hasa ndugu zetu wa CBG na PCB
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la katiba kulipuliwa mda wowote..,

    kuna ukweli wowote juu ya hili
  8. M

    JamiiForums Tanzania tatzo la chakula mashuleni

    jamani sio siri tatzo la chakula mashuleni limekua tishio kubwa sana hasa mikoa ya nyanda za juu kusini (iringa, mbeya na sumbawanga) wanafunz wa a' level wanasumbuka sana..... Serikali mpo wapiiii???? Au hamulioni hiliiiiiiiiiii!!!!!?!?!!!?!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    Lazima serikali iwe macho sana juu ya hilo
  10. M

    JamiiForums Tanzania IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    Yatupasa tumpe pole kiongozi wetu na mungu amsaidie juu ya janga hili hatari
  11. M

    JamiiForums Tanzania "UJIO WA OBAMA" simu za mikononi zinachujwa au kusikilizwa

    Ujio huu ni fahari kwa baadhi ya viongoz wa nchi lakin cc raia wa chini 2naumia hasa sisi machinga wa dar, ni bora aondoke
Back
Top Bottom