Mkuu mechi za ligi kuu na mashindano yote ya ndani wanaruhusiwa kucheza. Pia ITC zilishafika ila nje ya muda. Zilifika tar16 August wakati deadline ya CAF ilikuwa tar15 August
Mkuu utaratibu ni kwamba, ukiweka hoja za pingamizi hata 20 na hoja ya Mamlaka ikiwemo hata ikiwa ni hoja ya 17 basi itaanza kuamliwa hoja hiyo kabla ya hoja zingine zote,
then kama mahakama ikiona kweli haina mamlaka inaachana na hoja zingine zote hizo 19 maana zilijiegesha kwenye hiyo hoja ya...
Habari wana JF,
Wanawake baadhi (siyo wote) wasomi wa vyuo vikuu hasa ngazi ya shahada (degree) ni waoga sana. Uoga usio na sababu za msingi.
Siku hizi kazi zinazotangazwa rasmi ni chache sana hivyo kazi nyingi hupatikana kupitia kufahamiana na watu mbalimbali.
Watu wanaojua tabia zako na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.