😅😅me nimepita advance kwenda chuo mdogo angu tena engineering tunakutana na wadau wa veta huku field wapo vizur na certificate zao mpaka unaona aibu kujiita engineer
We jamaa jau sana na ka advance kako ka HGL unajiona umekula msoto😂 ila bado akili zako ni finyu sana kama unaona mafundi wanafaa watu ambao hawana uwezo mkubwa..
huenda na umri nao bado mdogo hujajua uhalisia wa maisha
Ulifikiri ni simple 😂 huyu ni mpambanaji anajua kujiongeza hata ukikutana nae kazini atakuzidi tu vitu vingi amekwepa mishale mingi.. fanya na wewe kama simple
Ngoja nikupe faida kitu usichokijua ni kwamba watu wengi wanamaliza form 4 wakiwa na umri mdogo miaka 16-17 wanakua hawajitambui wanaanza kujitambua wanapofika chuo iyo elim ya kufaulu form 4 au ni yakukalilishwa tu hata A-level ni yale yale tu wala sio kipimo cha kwamba mtu anauwezo mkubwa...
Kwahiyo apo kikubwa ni form 5 na 6 ?
Mbona kwa mwanafunzi aliyesoma certificate kuanzia NTA level 4,5,6 anakua vizuri zaidi ukikutana nae degree kuliko uyo wa form 6 uliza wadau wakupe muongozo inaonekana umetanguliza chuki zaidi na hasira za ujobless
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.