ARUSHA IMETAKATA NA CCM
Arusha imekuwa moja ya mikoa Tanzania,iliyoweka rekodi njema ya utendaji wa viongozi wa chama na serikali.
Mh Gambo amewekeza na amejikita katika kuwatumikia watanzania Maskini hasa wakazi wa Arusha.Muda wa Kusikiliza nani Kusema hili,nani kasema lile,Muda huo hatuna...