Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais Magufuli

Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais Magufuli

Hao watanzania unaotaka kuwapa ushauri wanauwezo wa kufikiri na kuona zaidi yako.
 
Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais JPM. Ni kiongozi bora sana!
Tuskubali kuchonganishwa na Serikali kwani sio desturi yetu.

Ole Mondoros
Lumumba oyee tunasubir mil 50 kijijini kwetu nanjilinji
 
Kwa nini hujiulizi why uchonganishaji katika awamu hii ya ngumi!?
Tatizo ni kuwa, Serikali inaenda kama gari imekosa usukani (in Mzee Mwinyi's voice)

Any way, niko kwenye majonzi .

R.I.P.Binti Akwilina A B,.
R.I.P Diwani CDM huko kata moja wapo mkoani Morogoro.

Ndoto zenu zote zimezimwa ghafula kama vile mshumaa uzimwavyo.
 
Kwani huoni tunavyohama vyama? Unataka tumuungeje huo mkono?
 
Haya yanafanywa na Mafia wa UPINZANI. Soon watatiwa mikononi mwa vyombo VYA dola
Mmasai koko eh kama sikosei! Yaani mnatumika vibaya kama kondomu ya kukodi! Ccm na serikali yake inavimiliki vyombo vyote vya dola na mwenyekiti wenu ni amiri jeshi mkuu kwa maana ya kuwa vikosi vyote vipo chini yake! Nikuulize hivi vikundi vya kigaidi vilivyo chini ya vyama vya upinzani ni vikubwa kwa kiasi gani cha kuvishinda vyombo vyote vya dola? Dogo, hakuna wajinga wenzako humu na kama ndio unajiunga jitoe uende kule fb kulikojaa wajinga wenzako! Usituharibie siku kwa uzwazwa wako wa kutumikia buku saba kutwa! Kachunge mbuzi kwenu kama vipi!
 
Serikali iko wapi ukizingatia ni raia wasiokuwa na hatia ndio wanaoathirika, unataka kusema kwamba vyombo vya dola vimezidiwa mbinu na maarifa kwa hao unaowaita mafia wa upinzani? Kijana acha kufikiri kwa kutumia visigino
Bora kisigino. [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] !!
 
Haya yanafanywa na Mafia wa UPINZANI. Soon watatiwa mikononi mwa vyombo VYA dola
MBONA WAPINZANI MARA KADHAA WAMETAKA UCHUNGUZI HURU MMEKUWA WAOGA,KAMA SERIKALI NA WEWE MWENYEWE HAMHUSIKI MNAOGOPA NINI?UPUUZI HUU MPELEKEE M/KITI WAKO ASIYEJIELEWA ETI KUUA WATU KISA MADARAKA NAVYO NI VIWANDA.
 
Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais JPM. Ni kiongozi bora sana!
Tuskubali kuchonganishwa na Serikali kwani sio desturi yetu.

Ole Mondoros
Tumuunge mkono kwa lipi???. Alitundanganya bombadia ingekuja july 2017 hadi leo kimya, mishahara hovyo, wapinzani kuuliwa, uchumi unadorora, mabenki yanafilisika, kukithiri kwa rushwa.
 
Back
Top Bottom