Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 474
ARUSHA IMETAKATA NA CCM
Arusha imekuwa moja ya mikoa Tanzania,iliyoweka rekodi njema ya utendaji wa viongozi wa chama na serikali.
Mh Gambo amewekeza na amejikita katika kuwatumikia watanzania Maskini hasa wakazi wa Arusha.Muda wa Kusikiliza nani Kusema hili,nani kasema lile,Muda huo hatuna kwa sasa.Ni wakati wa kuchapa kazi.Nimekuwa nikifuatilia Uwajibikaji wa Viongozi wetu wa chama na Serikali,Hakika viongozi wote wa Arusha wa chama na Serikali,Vijana wote wa wa CCM,WAZEE wote,Akinamama wote wa CCM Arusha.Kazi yenu ni Thawabu Mbele za Mungu.
Nimpongeze sana Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Mh.MPANDA,na wasaidizi wake wote,hasa Jumuia za CCM ya Wazazi,UVCCM,mnafanya kazi nzuri sana.Aidha niwashukuru sana makada wapambanaji ya chama cha Mapinduzi Arusha kwa Kushirikiana na viongozi wetu wa chama na serikali Muda wote.Binafsi ninawapenda sana,Ninyi ni sawa na Jeshi lililotayari Muda wote.
Aidha niwashukuru mamulaka za Uteuzi kutuletea "VYUMA" Arusha.Viongozi wetu wa Chama na serikali na Jumuia za CCM ni vyuma kweli kweli.Viongozi wetu ni askali washindi siku zote.Si wepesi wa kukata tamaa hata pale wanapopitia magumu bado hushikamana na kwao ,Taifa na Chama kwanza mambo binafsi Baadae.Huo ndio uongozi Bora.
Mchawi siku zote huwanga usiku na Mavazi meusi,Aidha akiwa na fisi mweusi au akiruka na Ungo angani ili abadili gia angani.Sasa siku hizi gia ya ungo inabadilishiwa Aridhini.wamekuwa wakianguka na vyungo zao siku hadi siku.Na Mara kadhaa nguo Nyeusi kama nilivyokwisha sena awali ni mavazi ya wachawi au waombolezaji.Lakini wenzetu wanaita "Magwanda". Duuu ni namna ya fikra fupi.
Arusha sasa MWENDO mdondo,Barabara zetu zimeboleshwa kwa kiwango cha Rami na Four ways Kila kona ya Jiji la Arusha.Haya yote ni Matunda ya Serikali ya chama cha Mapinduzi na Mchapakazi uliotukuka wa Mh.Rais.Dr.John P.Magufuli.Aidha viongozi wetu wa chama Makatibu wakuu Taifa wa ccm kwa kuisimamia Serikali katika utekelezaji wa Ilani za CCM bila Huruma.Hiki ndicho chama chenye Ilani tekelevu.Chama cha Mapinduzi.
Ni imani yangu kubwa ,Vijana wa Arusha wataendelea kujiunga na CCM,Chama madhubuti,Chama cha watu waluostaarabika,Chama cha wananchi wote,Kinachoamini katika Utu,Usawa haki na Uzalendo wa kweli.Najua Maumivu wanayopata Vijana walioko CHADEMA na ndio maana wanakimbilia CCM kupata nafuu ya Afya,na kifikra.Wamechoka kubadirishiwa Gia angani,Kuvalishwa mavazi ya kuombolezea na kuitwa Chama na Genge la Wahuni.
Vijana wote Arusha ,Karibuni sana CCM,Huku ndiko nyumbani kwenu.Tunawapenda, Na tumeona si vyema ninyi kama watanzania wenzetu,kuendelea kiteswa na CHADEMA na kuwatumia kama mtaji wao na Baadae kuwatelekeza.
Karibuni mkutane na Majembe ya Mh.Dr John Pombe Magufuli,WAZEE wa hapa kazi tu..Arusha na CCM tu.Longido mguu pande.Tunakuja kaeni Mkoa wa kula.
Lobulu Lomayan.