Recent content by monaichi

  1. M

    Uzuri wangu sasa umekuwa kero

    weka picha tukuone
  2. M

    Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

    ninachoamini mimi ni mfumo au system mbaya ,maana ukiangalia mfano ukitaka kuchukua fail unawahi pale saa kumi na mbili ili ushike namba .unapewa namba mda wa saa moja .saa mbili wakitoka sala wanakutafutia faili unaitwa unaambiwa nenda kwenye malipo . unaweza kukaa dirisha la malipo kwa muda...
  3. M

    Kero inayoletwa na watozaushuru wa maegesho ya magari moshi mjini

    katika pitapita yangu mwezi uliopita nilikutana na kisa cha hawa jamaa wenye dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jina la kampuni inaanzwa na P ,walimvamia dada mmoja kwenye gari lake na kutaka kulichukua wakamnyanganya na funguo za gari,kisa wanavyosema ni kuwa hakulipa ushuru wiki...
Back
Top Bottom