Nimesikia sehemu kua lile gorofa ni mali ya Baba mzazi wa mwanaume aliloliacha kwa mwanae sasa kesi kubwa hapa nikwamba mwanamke baada ya mume kuanza kuumwa analisalandia kujimilikisha yeye nafikiri na watoto wakati ni mali ambayo haimuusu kabisa.plus na michepuko baada ua mzee kuanza kuugua...
Hizo ni dhulma za waziwazi kabisa kuna hiyo na ya kuacha kazi mwenyewe hawakupi .ni taratibu zilizowekwa kudhulumu watu haki zao ,maisha yenyewe yakufika miaka 60 yakowapi saahizi.mshkaji ailpaswa kupambana kuichukua kabla hajaanza kazi mpya ata kuhonga angehonga tu.yani hivi vimilioni 6 7 ndo...
Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana...
Mzee umechanganyikiwa au unasema mwendo wameumaliza wakati its a final ndiyo mechi ya mwisho ya mashindano hilo neno haliingii hapo. Endeleeni kufanya maombi tulikose ila tukilipata mjiandae
Sijui kuhusu mapepo sijui kuanguka na mambo hayo ninachojua ni kua majini ni viumbe walioumbwa na Mungu kama sisi tu binadamu ila sisi tumeumbwa kwa udongo wao wameumbwa kwa moto.
Na wapo ambao ni waovu na wema kama ilivyo binadamu,na wao pia siku ikifika wanakufa na kwenda kusubiri malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.