Kweli nimeamini kumbe mtu unaweza kuzungumza maneno yakapinduliwa maana yake halisi.
Ni wapi sheikh alisema tutakata vichwa wakristo?
Alichosema ni kwamba hao wanaochochea maandamano ya vurugu na kupora Mali za watu utakuta tumekatana vichwa huko barabarani.
Tunasema haya Wala hatutanii...
Mkuu acha kuangalia video za ngono na kupiga punyeto kwa asilimia kubwa hiyo Hali hutokea kwa sababu hizo mbili .
Expectations inavyokuwa tofauti na reality, akili hupatwa na hofu na kuanza kuwaza je nitamridhisha kweli mwenza wangu.
Ndio maana ukifika kwenye reality hiyo Hali hujirudia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.