Recent content by Momazi

  1. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

    Umesahau Jimbo la Mzee wa boom peter Getele na jirani yake wa mpakani mwa ukerewe na bunda
  2. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

    Jamani kama Kuna mtu amemuelewa huyu mlevi anisaidie mbona naona majina ya watu sio majina ya majimbo mfano Jimbo la mwabukusi linapatikana mkoa gani ?
  3. Momazi

    JamiiForums Tanzania Unashauri 2025 Mbunge wa jimbo gani ajizuie kugombea tena kiti hicho kuepuka fedheha ya kushindwa?

    Mzee wa boom na jirani yake wa Jimbo la Mwibara
  4. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    Kwa huo ushauri hafaii kuwa HATA kiongozi wa NZENGO
  5. Momazi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo

    Eti wanafunzi wanaovaa uniform mbona Mimi Niko chuo ambacho ni tawi la Udsm hapa jijini na sivai uniform sijaingiziwa mkuu,au tunapewa kwa mafungu
  6. Momazi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo

    Wamepewa saa ngapi
  7. Momazi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo

    Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa. Kama haukupokelewa ni kwa Nini hadi nukta hii bodi imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo, mbona kama...
  8. Momazi

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Mimi nimemtumia mama pesa lakini naambiwa pending nimeumia sana
  9. Momazi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Hili la kugombania mademu ndo lililomnyima jamaa Mmoja wa Bunda usingizi na kuamua kuropoka habari za boom wakati Moja ya majimbo masikani ni Jimbo la Bunda vijijini
  10. Momazi

    JamiiForums Tanzania Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Hivi Kila kukicha ni kupongeza na kusifia tu? Acheni unyangaragata.
  11. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Kwani kugombea mpaka uwe mchawi mkuu hapo imekaaje
  12. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Imekamilika mkuu
  13. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Vikao nimehudhuria sana mkuu
  14. Momazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Nimejipanga mkuu
Back
Top Bottom